Hivi mlinzi wa Hayati Magufuli ni mlinzi wa Naibu Spika Zungu kweli?

Hivi mlinzi wa Hayati Magufuli ni mlinzi wa Naibu Spika Zungu kweli?

Ilishawahi kutokea hata kwa mojawapo ya walinzi wa Mkapa alienda kuwa mlinzi wa spika sita. Watoto wadogo hamjui haya mambo. Ulinzi kazi ya kawaida sana haina uspesho wowote
Kwanza kwani kuna ajabu gani ?? Katika maisha kuna "ups and downs" ukijua hilo maisha hayatakusumbua na hautosumbuka sana Kwenda kwa masangoma !!
 
Whatever tutasema, top officials wa level yake kuwe na namna nyingine ya kuwatumia! Hao jamii imeshawaona kama alama maalum ya kimamlaka, ni vizuri ikiangaliwa kwa jicho tofauti.
 
Whatever tutasema, top officials wa level yake kuwe na namna nyingine ya kuwatumia! Hao jamii imeshawaona kama alama maalum ya kimamlaka, ni vizuri ikiangaliwa kwa jicho tofauti.
Pia tunaona as they know more about late
 
Kuna watu humu hawajui kuwa kazi ya ulinzi wa viongozi ni kazi kama kazi nyingine yoyote na mlinzi wa kiongozi ni mlinzi tuu kama mlinzi mwingine yeyote, kiongozi mmoja akifa, mlinzi wake anapangiwa kazi ya ulinzi kwa kiongozi mwingine yeyote.
Kuna watu walitamani hao walinzi waendelee kumlinda kwa kulinda kaburi lake pale Chato.

Na sio mlinzi tuu anapangiwa, hata wasaidizi wake wote wanapangiwa kwa wengine.

Tena tushukuru sana modern civilization, tunge stick kwenye zile traditional zetu za asili kabisa, hata ... ingebidi na yeye ... so that life goes on.

Ila pia kiukweli humu jf tuna members.. na members, members wengine wa ajabu...
P
Wapo Chattlo Bado wanalinda Kaburi. Alhaji amepelekwa Kwa Mda Tu Ila atapangiwa kuwa RSO Siku Sio nyingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom