Hivi mlinzi wa Hayati Magufuli ni mlinzi wa Naibu Spika Zungu kweli?

Hivi mlinzi wa Hayati Magufuli ni mlinzi wa Naibu Spika Zungu kweli?

Kuna watu humu hawajui kuwa kazi ya ulinzi wa viongozi ni kazi kama kazi nyingine yoyote na mlinzi wa kiongozi ni mlinzi tuu kama mlinzi mwingine yeyote, kiongozi mmoja akifa, mlinzi wake anapangiwa kazi ya ulinzi kwa kiongozi mwingine yeyote.
Kuna watu walitamani hao walinzi waendelee kumlinda kwa kulinda kaburi lake pale Chato.

Na sio mlinzi tuu anapangiwa, hata wasaidizi wake wote wanapangiwa kwa wengine.

Tena tushukuru sana modern civilization, tunge stick kwenye zile traditional zetu za asili kabisa, hata ... ingebidi na yeye ... so that life goes on.

Ila pia kiukweli humu jf tuna members.. na members, members wengine wa ajabu...
P
Asante Mayalla, Ngusa alikuwa ni Mnikulu leo hii ni Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza, kwa hiyo nayo ni demotion...ukiwa mtumishi wa umma, mwajiri ana uhuru wa kukupangia kazi kadiri ya anavyoona inafaa
 
Sasa rais aliyekuwa anamlinda, ambaye pengine alimtaka tu kwa kupendekezwa na mtu, amefariki, ina maana kama aliyepo hamtaki basi huyu hata angeweza kustaafishwa au kurudi mezani. Au akalinde kaburi Chato, sasa kipi bora?
Wanakazi nyingi hao sio mgambo kwamba ye kazi ni kukaa nyuma ya mtu kama mkia,pia kuna viongozi wengi senior zaidi ya NS kama ishu ni kulinda kama unavyodhani
 
Mambo ya kijitonyama hayaeleweki kabisa

Kuna Mwalimu mmoja wa Azania 1983 alitoka pale akienda Likizo ile ya December baada ya likizo kuisha tukaanza kumuona Nyuma ya Hayati Edward Moringe Sokoine na baadae akawa Mwambata wa Ubalozi nchi moja huko Ubeberuni
Alikuwa chawa tu uyo

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Huyo mlinzi anashukuru yuko kazini bado, mtu.anahoji inakuaje! Nadhani muhimu kwake bado yuko anafanya kazi serikalini, au nasema uongo ndugu zangu?
 
Wanakazi nyingi hao sio mgambo kwamba ye kazi ni kukaa nyuma ya mtu kama mkia,pia kuna viongozi wengi senior zaidi ya NS kama ishu ni kulinda kama unavyodhani
Kwa hiyo mdukuzi nawewe unaona kuwa huyu jamaa amefanyiwa ukatili kuwa mlinzi wa NS?
 
Aisee unajua huyu jamaa kazi yake ni ya kijeshi, sasa kama cheo na marupu rupu yako yako pale pale na kazi ni ile ile ya ulinzi wa kiongozi, shida ni nini? Nadhani unakosea hapo.
Pesa sio kila kitu mkuu,kuna status pia katika maisha
 
Huyo mlinzi anashukuru yuko kazini bado, mtu.anahoji inakuaje! Nadhani muhimu kwake bado yuko anafanya kazi serikalini, au nasema uongo ndugu zangu?
Kama mnaona ups and downs katika maisha sio kitu sahihi basi ndio maana wengine wanafanya kila mbinu hata mbinu chafu ili wasishuke huku chini !! Tukiiona hiyo hali inafanyika tusilaumu MTU maana walioko juu hawatakiwi kuteremka chini !! Watu wasianze tena kupiga kelele wameiba! Wameiba !! !!
 
Hivi ni haki Leo hii mzee Zungu kuwa msaidizi wa Tulia Akson? Msaidizi kabsaaa? Lakini ndiyo hiyo; ni msaidizi tayari; mzee born town, mission town ndani ya jijini la Dar, Leo msaidizi wa mporipori kutoka huko Tukuyu ndanindani! Ukiweza kutegua hicho kitendawili utakuwa umepata jibu la swali ulilouliza.
Hio ni ufikiri wako dhidi ya Tulia na atokako, hizo ni akili za maskini wa akili, kwanini hujajitolea wewe mfano, soma ulichoandika ni irrelevant case haina sifa ya mfano mafunzo. Born town with what money?brain?majengo?what did you basically wanted to compare and contrast? Inakuuma mtu wa bara au pembezoni kuwa na sifa kuwazida masalia ya watumwa?
 
Mzee uyo atafia jimboni anaijua ilala ndani nje nje ndan ..
Alaf k**** unavyotaka nae anataka,
Ukija na matusi anayo ad mapya,ushirikina ad kuloga mwenyewe anajua,
Ndugu yetu mrisho gambo tulipambana nae tumtoe mzee ngoma ikawa nzito sana,mzee ngoma nzito sana,
Ikabd aende t arusha.
Ndo jina lake shida ya Zungu ni mtoto wa Ilala atakua kamwomba mwenyewe kwamba namtaka alhaji anilinde, mlinzi anagonga za dukani yeye za mtumbani
 
So ulitaka akae bila kazi..?
Acha ushamba wa kiboya ndugu unakuwa unaakili Kama za ng'ombe bhana! Tumia kichwa yako vizuri
Jitahidi kujibu bila kutoa kashfa, yeye katoa maoni yake kuwa kutoka kuwa mlinzi wa head of state hadi mlinzi wa Deputy Speaker ni kushuka sana na huo ni mtazamo wake. Kwa upande wako wewe una mtazamo tofauti pia ni haki yako, siyo lazima wote tuwaze kwa mtazamo moja.
Hapakuwa na sababu ya kutoa kashfa. Hili tatizo linaelekea kukua kila uchwao, mtu anabisha hoja kwa kumkashifu mtoa hoja badala ya kujibu hoja yake
 
Asante Mayalla, Ngusa alikuwa ni Mnikulu leo hii ni Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza, kwa hiyo nayo ni demotion...ukiwa mtumishi wa umma, mwajiri ana uhuru wa kukupangia kazi kadiri ya anavyoona inafaa
No sio demotion, utumishi wa umma unakwenda kwa ngazi, the highest ni KM, hivyo ma KM wote are equal tofauti ni status, KM Kiongozi au KM Hazina sio Sawa na KM utamaduni, kuna wizara ni key na nyingine zipo zipo tuu.

Wakurugenzi pia wote they are equal, Ila Mninukulu, ma RAS ma DAS ni level moja.
P
 
Back
Top Bottom