mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Kuna wakati hatuangalii pesa bali statusMshahara si ule ule au ulitaka azikwe na Magu ili akamlinde huko aliko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wakati hatuangalii pesa bali statusMshahara si ule ule au ulitaka azikwe na Magu ili akamlinde huko aliko
Amesimama Katikati ya Ndomi na JpmTuone picha ya Seba [emoji12][emoji12]
Mkulima Wa Nyanya Huko MwendapoleNdomi ni nani hadi awepo na JPM hapo?
Labda kwa sababu Ndungai alikuwa tayari ni Spika wakati Tulia anaingia bungeni !Chifu elimu siyo sababu hata kidogo......Tulia (PhD) alikuwa msaidizi wa Ndugai ambaye hana hiyo PhD
Yaani akili zetu wabongo tunaamini kwamba wewe ukishakuwa huko juu basi tena wewe ni wa huko huko juu hutakiwi tena kushuka chini !! Hii ni dhana inayohalalisha walio juu watudharau sisi tulioko chini !! Wajameni ndio maana wengine wakilazimishwa kushuka wanajificha wasionekane kama vile Dunia imefika mwisho wake !!Mbwa ni wewe kolo,mlimzi ni mlimzi tuu anaweza pangiwa hata kulinda gereza.
Sio wafuasi wote wa Jiwe ! Ni baadhi yao tu !Kwa uzi huu ulioanzisha Leo nakiri rasmi wafuasi wa Jiwe na Jiwe wenu mmejaa ushamba, ujinga na kukosa exposure kwa kiwango cha juu kabisa
Unaona ni sawa kulinda kaburi na kulinda mtu aliye hai na ni Naibu Spika? Huyu ukimuuliza atakuambia sasa anafurahia kazi yake ya ulinzi kuliko wakati mwingine wowote maishani kwake.Umeshindwa kutetea hoja ,unadhani kumlinda Rais ni sawa na kumlinda NS ni kweli kuna vitu atavikosa Rais ni mtu mzito.
Kuna watu humu hawajui kuwa kazi ya ulinzi wa viongozi ni kazi kama kazi nyingine yoyote na mlinzi wa kiongozi ni mlinzi tuu kama mlinzi mwingine yeyote, kiongozi mmoja akifa, mlinzi wake anapangiwa kazi ya ulinzi kwa kiongozi mwingine yeyote.
Kuna watu walitamani hao walinzi waendelee kumlinda kwa kulinda kaburi lake pale Chato.
Na sio mlinzi tuu anapangiwa, hata wasaidizi wake wote wanapangiwa kwa wengine.
Tena tushukuru sana modern civilization, tunge stick kwenye zile traditional zetu za asili kabisa, hata ... ingebidi na yeye ... so that life goes on.
Ila pia kiukweli humu jf tuna members.. na members, members wengine wa ajabu...
P
Unaona ni sawa kulinda kaburi na kulinda mtu aliye hai na ni Naibu Spika? Huyu ukimuuliza atakuambia sasa anafurahia kazi yake ya ulinzi kuliko wakati mwingine wowote maishani kwake.
Inafikirisha !Kaka malizia tu kuna members wengine wajinga sana...
Asikudanganye mtu wewe,ikulu pasikie hivyo hivyo,kila mtu angependa kufanya kazi ikulu na mkuu wa nchi.NS ni mtu mdogo sana kwa rais,ni sawa na dereva wa rais amuendeshe NS haiwezi kuwa sawa,ikulu ni nusu pepo 😀😀😀Unaona ni sawa kulinda kaburi na kulinda mtu aliye hai na ni Naibu Spika? Huyu ukimuuliza atakuambia sasa anafurahia kazi yake ya ulinzi kuliko wakati mwingine wowote maishani kwake.
Ukiogopa tension huwezi kugrow career wiseKweli kabisa kwa sababu hana tension kubwa ya kazi yake hapo alipo kwa sasa !
Ni kweli ! Lakini huwezi kuishi maisha yako yote ukiwa katika tension !!Ukiogopa tension huwezi kugrow career wise
Ndio maana kuna likizo na kustaafuNi kweli ! Lakini huwezi kuishi maisha yako yote ukiwa katika tension !!
Yupo katoro kawa DSOAh kaka mkubwa mambo ya traditions tena!
Big black yeye amepangiwa wapi saiv jameni?
Sasa rais aliyekuwa anamlinda, ambaye pengine alimtaka tu kwa kupendekezwa na mtu, amefariki, ina maana kama aliyepo hamtaki basi huyu hata angeweza kustaafishwa au kurudi mezani. Au akalinde kaburi Chato, sasa kipi bora?Asikudanganye mtu wewe,ikulu pasikie hivyo hivyo,kila mtu angependa kufanya kazi ikulu na mkuu wa nchi.NS ni mtu mdogo sana kwa rais,ni sawa na dereva wa rais amuendeshe NS haiwezi kuwa sawa,ikulu ni nusu pepo 😀😀😀