Hivi mlinzi wa Hayati Magufuli ni mlinzi wa Naibu Spika Zungu kweli?

Hivi mlinzi wa Hayati Magufuli ni mlinzi wa Naibu Spika Zungu kweli?

Mambo ya kijitonyama hayaeleweki kabisa

Kuna Mwalimu mmoja wa Azania 1983 alitoka pale akienda Likizo ile ya December baada ya likizo kuisha tukaanza kumuona Nyuma ya Hayati Edward Moringe Sokoine na baadae akawa Mwambata wa Ubalozi nchi moja huko Ubeberuni
 
Hadhi yake ni kuwa amewahi kuwa kiongozi wa jopo la ulinzi wa kiongozi mkuu wa nchi.
Hilo huendana na rank ya cheo chake kuwa yeye ndie alikuwa senior kwa wenzie mfano mtu ni kanali wa jeshi hata umpeleke kulinda ofisi ya kata maruprupu yake ya ukanali yako palepale na allowance zake
 
Hadhi yake maana yake nini? Hadhi ni cheo na mshahara wake kati ya hivyo nini kapungukiwa?
Kama hadhi ni cheo basi hadhi imeshuka kutoka kumlinda rais hadi kumlinda Naibu spika.

Kama unaongelea mshahara mbona Ndugai bado analipwa pesa nyingi tu lakini kafedheheka kunyimwa nafasi yake.

Ni kwamba hadhi imeshuka pamoja na kuendelea kulipwa vilevile.

Jamaa wangempangia majukumu mengine tofauti na ulinzi wa huyo mtu
 
Kama hadhi ni cheo basi hadhi imeshuka kutoka kumlinda rais hadi kumlinda Naibu spika...
Sasa wewe unaongelea kuuza sura kupiga picha na raisi akiwa nyuma Raisi

Definition yako ya hadhi ya mtu haiko sahihi yule sio mwasiasa ni askari
 
Back
Top Bottom