Hivi mlinzi wa Hayati Magufuli ni mlinzi wa Naibu Spika Zungu kweli?

[emoji23][emoji23]

Watu mnapenda kuchunguza maisha ya watu. Haya watoto wako watakula mchana?
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
[emoji23]

Aisee!

Humu JF hata ambaye alikuwa anashika nafasi ya mwisho darasani ni mjuaji ili mradi atibue maji kama samaki kwenye dimbwi.

pascal Mayalla
Naomba nisimalizie ili kuepuka kutukana watu, ila ni ukweli baadhi ya vichwa humu ni vya kufugia tuu nywele ila they are empty shells.
P

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Kama ni kweli wale tulio kwenye ulinzi jiuzuluni tafadhali sanaaa huyo hapo chini alikuwa mlinzi wa Magufuli sasahivi ni mlinzi wa Naibu spika?

View attachment 2135563


Huyo jamaa ni mtu wa kitengo cha ulinzi wa viongozi na unapangiwa kumlinda kiongozi yoyote anaestahili ulinzi.

Kulinda Raisn haimaanishi utalinda marais wote au utakaa hapo siku zote ndio maana hata watumishi wa Umma huwa wanahamishwa kutoka ofisi moja kwenda nyingine.

There is nothing surprising here.
 
Kwahiyo unafikiri kwa kifo cha jamaa alitolewa kwenye ajira au mshahara ulikoma? Au unadhani kumlinda Marehemu kunamaanisha alikuwa mwajiriwa wa Marehemu?!
 
Kwani aliajiriwa kuwa mlinzi wa Magufuli?yeye ni mtumishi wa kitengo anaeeza kupangiwa kazi yoyote.
Hili ndio jibu sahihi kabisa. Angeweza hata akarudishwa kuwa RSO au DSO Kuna mzee mmoja alikuwaga enzi ya Kikwete akapata chapuo sehemu Ila Sasa hivi ni DSO sitataja alipo.

Anatamani hata kuacha kazi Ila umri ndio umeshasogea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…