Hivi mliojenga hapa mjini, mliwezaje? Mna miujiza ama ni wezi?

 
Mjini wapi?
 
Wategemezi?? Ulikuja nao duniani?
Nimejikuta naangua kicheko....itoshe kusema mwenyezi Mungu alinichagua nizaliwe kwenye hii familia ya kawaida ya baba na mama na kupewa basic needs...Ila BABA ANGU AMEMJENGEA NYUMBA KILA MTOTO WAKE...Mimi na nyumba moja ya jiji hapa Tanzania ya kujengewa na BABA.
 
Kuhusu michango ya harusi nikikuchangia jua wewe ni mtu wangu wa karibu sana. Mwaka huu nimechangia harusi moja tu, 200000.
Harusi ukiziendekeza zitakufirisi.
 
Hapoo kwenye nyumba moja mafundi 10 nimechekaa Kwa saut๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Sasa nyumba unayo, unataka kujenga tena??
Baba yako ni jukumu lake maana alikuleta duniani, kama na wewe una wanao wajengee.

Kama uko mwenyewe, nyumba ni anasa.
 
Kuhusu michango ya harusi nikikuchangia jua wewe ni mtu wangu wa karibu sana. Mwaka huu nimechangia harusi moja tu, 200000.
Harusi ukiziendekeza zitakufirisi.
Niwe mkweli sijawahi changia hii amount, mwana wa karibu sana haivuki laki, hao wengine ni mwendo wa 50 namchna sitaki kadi...hayo mavitu ni kausha damu sana.
 
Kuna watu huwa wanakopa benki ili wajenge nyumba waache kulipa kodi, huwa nawasikitikia sana.
Kwanini usikitike? Mbona malipo mengine ya kodi ni kama rejesho la mkopo? Mfano unalipa kodi 600,000 kwa mwezi kuna ubaya kuchukua mkopo ujenge na urejeshe mkopo 600,000 kila mwezi?
Ukichukua mkopo baada miaka kadhaa nyumba inakuwa yako. Ukipanga hata miaka 20 utaendelea kuwa mpangaji tu.
 
Hapo kwenye michango ya harusi, ndo pakuanza napo kupapotezea
Epuka starehe za makundi, pemdelea zaisi kufanya vitu peke yako
Acha maigizo ya maisha, kama siku uchumi umebana piga ugali tembele lako kiroho safi tu. Usiogope kuchekwa.
Kama unataka kujenga nunua. Maeneo ya kuanzia maisha pia, boss kwezi ana viwanja vya hadi laki 8, nunua huko na ujenge simple dummy house, nasema dummy kwa sanabu mara zote viwanja vya bei kitonga huwa vibapatikana nje ya mji, kama mishe zako ni za mjini itakuwa ni almost impossible kwako kuishi kwe ye hiyo nyumba uliyojenga ila itakuwa ni stepping stone in case mambo yanagoma kabisa, na inaweza kuwa chaxhu ya ww kujenga nyimba nyingine sehemu unayopenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ