Hii sio real, nyuma yake kuna vitu vingi visivyojulikana. Mwenyewe aliagiza, ole wake afanyaye kazi kwa mikono legevu, atapata umaskini wa kumtosha, wenye biblia someni. akasema tena, usiende mbele yake mikono mitupu.Umesahau Maji ya Upako kwa Mwamposa