Hivi mnaamini haya magari ya kutembelea ya mchina yanayokuja Africa?

Huku UK , mbona Yutong za kutosha tu tunazipanda

 
Hayafikishi 5yrs yanarudi trip za wilayani.
Mkuu, zile bus za mwendokasi, zilianza kazi mwaka 2016 nadhani, na hazijafanyiwa service ya maana, zinapiga safari deile, overloaded, engine nyuma nk, ila mpaka leo, takribani miaka 10, zipo na zinapiga kazi. Majuzi hapa road nimekutana na HOWO truck ni namba C lipo mang'anyu, naamini zipo kadhaa barabarani, sasa namba C official ya mwisho ilitoka 2014 (miaka 12 iliyopita).
 
Haya matakataka ya kichina afrika yamesababisha majanga makubw mno, wanayapa mwonekano tu hayo mabox πŸ˜†

Hayo ndiyo yanayosaidia. Imagine kusingekuwa na Tecno au Infinix, kila mtu anunue iPhone. Wamatumbi wangapi wangemudu smartphone? Wangapi wangeingia JF? Mchina kahokoa jahazi kwenye mambo mengi sana.

Hilo gari unalolizungumzia, likitengenezwa Ujerumani na likiwa na hizo features, bei yake ingekua si mchezo. And I reckon ni EV. Unajua bei za EVs za West? Wamatumbi wangapi wanaziweza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…