Na zikifika huko zinavishwa engine za scania. Kina abood, new force huwa wanashusha vyuma vipya almost kila mwaka kama yangekuwa yanakaa wangekuwa na fleet kubwa sana.Hayafikishi 5yrs yanarudi trip za wilayani.
Kuna jamaa walijunua FAO wakazipeleka pale Makanya kudump gypsum, wanajuta. Gari haina 5yrs ipo hoi haifai tena. Wakati aliyenunua scania used anadunda nayo.Mabasi ya kichina mlisema mabovu, leo yametawala barabarani. Trucks same thing, leo Howo zinatawala. Simu pia ilikuwa hivyo hivyo leo mchina kashika soko la Africa. Ni suala la muda tu.
Magari ya kichina yana bei nafuu na features za kutosha. Kuna gari taa zake za mbele ni projector unawasha unaangalia movie, lakini bei kitonga. Hiyo feature ukiikuta kwenye gari la Mmarekani au Mjerumani, utalipia hadi figo 🤣
Angalau Niffer ameweza hata kuiagiza toka China na ikashuka Bongo kwa ndege!😄😄😄😄Gari ya nifa , ya mchina haina mda( jokes).😆😆😆 ila kwa voice within me Pascal Mayalla naiona kama takataka na toi la kuchezea watoto wadogo🤔
Wachina kwa kuzalisha vitu kwa ajili ya Afrika ,vyenye ubora unaotakiwa sina imani nao kabisa.
Kama hizi basi ndio bure kabisa, kila siku zinawaka moto, sijui shida ipo wapi?
Xi Jinping
Uko sahihi mchina si kiumbe wa kuaminika nishawah kufanya nao biashara ya bidhaa walichowahi nifanyia nimewakataa mazima.Gari ya nifa , ya mchina haina mda( jokes).😆😆😆 ila kwa voice within me Pascal Mayalla naiona kama takataka na toi la kuchezea watoto wadogo🤔
Wachina kwa kuzalisha vitu kwa ajili ya Afrika ,vyenye ubora unaotakiwa sina imani nao kabisa.
Kama hizi basi ndio bure kabisa, kila siku zinawaka moto, sijui shida ipo wapi?
Xi Jinping
Meku..!Wachina wana uwezo wa kuzalisha bidhaa za ubora wowote ule unaotakiwa, ila kiwango cha ubora kinategemea mambo mawili makuu: pesa anazolipa mfanyabiashara na sheria za nchi husika.Gari ya nifa , ya mchina haina mda( jokes).😆😆😆 ila kwa voice within me Pascal Mayalla naiona kama takataka na toi la kuchezea watoto wadogo🤔
Wachina kwa kuzalisha vitu kwa ajili ya Afrika ,vyenye ubora unaotakiwa sina imani nao kabisa.
Kama hizi basi ndio bure kabisa, kila siku zinawaka moto, sijui shida ipo wapi?
Xi Jinping
Mchina kwenye marketing yupo vizuri sana. Hiyo gari Wana advertise ina 600hp lakini kiuhalisia ukiwa barabara utajua mwenyewe namna utakavyoipata.Kanunua Jetour T2 all of a sudden it's 'expensive' and popular than G-Wagon....talking about band wagon!
Mwendokasi like za mwanzo nyingi zimekufa. Ndio maana kuna kipindi njia ya Kimara kulikuwa na shida sana ya usafiri. Sasa hivi almost fleet yote ni yale mapya namba E. Halafu at least mwendokasi sio kazi ngumu, speed max 40-50kph hakuna milima wala stress kwa gari. Howo kibao namba D zishatupwa. Ukipita pale gerezani kuna yard ya Yepi Merlez hio midude Howo ipo kibao washamalizana nayo. BTW haina maana kuwa zoooote zitakufa mapema pia wengine wanabadili engine na diff.Mkuu, zile bus za mwendokasi, zilianza kazi mwaka 2016 nadhani, na hazijafanyiwa service ya maana, zinapiga safari deile, overloaded, engine nyuma nk, ila mpaka leo, takribani miaka 10, zipo na zinapiga kazi. Majuzi hapa road nimekutana na HOWO truck ni namba C lipo mang'anyu, naamini zipo kadhaa barabarani, sasa namba C official ya mwisho ilitoka 2014 (miaka 12 iliyopita).
Ila we jamaa ni kanafki😃Hahaha Picha basi
Huyu demu ana Hela za mchezo, asa ndio gari gani ili?Ila we jamaa ni kanafki😃
Sasa hio ndio habari ya mjini sasa. Kila mtu anataka JetourHuyu demu ana Hela za mchezo, asa ndio gari gani ili?View attachment 3695268
Ila sina Imani na Mchina, usikute Jetour wamempa kama awatangazie. Maana wako Nyerere Rd.