Hivi mnaamini haya magari ya kutembelea ya mchina yanayokuja Africa?

Inawezekana kubadili kila miaka 3-5? Kipato cha kawaida cha mtanzania ni kiasi gani kwa mwaka? Unajua wale top 1-5% wa Tz wako kwenye bracket ya kiasi gani kwa mwaka?

Kwa mtu mwenye kipato ghafi cha 120M - 200M (kabla ya makato) bila kujali vipaumbele vyake, anaweza nunua gari zero km ya mchina kila baada ya miaka mitano. Zipo gari za mchina zero KM za bei za kawaida mkuu.
Hao top 1-5% sijui ni watu gani mkuu, labda unieleze.
 
Angalau Niffer ameweza hata kuiagiza toka China na ikashuka Bongo kwa ndege!πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Wewe Sasa, hata guta la SIDO umeshindwa kununua unajadili ndinga za wenzako! Pumbavu!!!
Bila shaka wewe ni mmoja wa wanakamati ya mapokezi ya miss.

Ninyi watu Niffer ni rais wenu.
 
ntajie basi la mchina namba C lililopo barabarani?

Liwe barabarani kufanya nini? Nani anataka kupanda mabasi ya zamani? Hiyo mentality ya kutaka vitu vidumu milele imepitwa na wakati. ROI ya mabasi ya Kichina ni kubwa na inarudi haraka, unapata nafasi ya kununua basi lingine jipya and more advanced.

Features zilizopo kwenye Yutong ya 2020 huzikuti kwenye mabasi ya Ulaya ya 2028. Sasa mteja ana option ya kupanda basi la kisasa, lenye comfort na features nzuri. Unategemea achague basi la hovyo kwa sababu tu linadumu muda mrefu?

Biashara ni ushindani na mabadiliko. Sikiliza wateja wanataka nini, wape wanachohitaji. Kama wewe unachojali ni basi lako kudumu barabarani miaka 30 bila kujali ushindani, utapanda mwenyewe na familia yako.


 
Tunafanya nao kazi wanasema Africa tunapenda vitu cheap sana. Hivyo tunatengenezewa kulingana na hela zetu alafu wanatengeneza spare nyingi ili wauze zaidi. Hivyo kuchomoka mkononi mwake ni ngumu
 
Tunafanya nao kazi wanasema Africa tunapenda vitu cheap sana. Hivyo tunatengenezewa kulingana na hela zetu alafu wanatengeneza spare nyingi ili wauze zaidi. Hivyo kuchomoka mkononi mwake ni ngumu

Ndo uwezo wetu. Wabongo wangapi wanaweza kununua iPhone? Ila mchina kaleta smart phone ambayo kila mtu anaweza ku afford.
 
China ni teknolojia ya kuungaunga tu bado wana safari ndefu sana kuja kufikia walipo wa magharibi leo.

Bidhaa zao hazina kitu kinaitwa warranty unaweza ukanunua morter yao leo na kesho tu ikaungua na inakula kwako kwa maana bidhaa zao hazina warranty.

Mabasi yao akina Yutong yakikimbia sana barabarani ni miaka mitatu kwisha kabisa.

Tairi zao ndio kabisa ukipakia mzigo kwenye Dump Truck zao unashtukia mlipuko utafikiri bomu, yameshapasuka na mara nyingine zinapasuka mbili kwa mpigo 😯😯
 

Hilo basi la miaka mitatu umenunua shingapi? Umezingatia ROI? Vitu kudumu milele is overrated. Leo watu wanabadilisha simu kila mwaka huku aliyonayo bado haijachoka.

Basi linalodumu miaka 10 linamsaidia nini msafiri? Nani anataka apande mibasi ya zamani? Nunua basi linalodumu miaka 20 upande mwenyewe na familia yako. Leo basi likichoka kidogo tu watu wanakukimbia waulize bus owners. TZ inasifika kwa ubora wa mabasi thanks to mchina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…