Hivi mnajua, baada ya hii kesi ya Uhaini, hawataweza tena kumkamata wala kumshitaki Tundu Lissu?

Keynez

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
3,809
Reaction score
6,948
Kwa miaka mingi serikali kuanzia za Mkapa hadi Samia zilikuwa zinasumbuana na Tundu Lissu, kwa kumkamata na wakati mwingine kumshitaki kwa tuhuma mbalimbali na baadae kumuachia.

Kitendo cha kufika kumkamata na kumshitaki kwa kesi ya Uhaini ambayo ni kesi kubwa zaidi katika Katiba ya JMT, ambayo kwa mtazamo wangu, hii ni desperate measure ambayo kama isipofanikiwa hawawezi tena kurudi kusumbuana naye kwa vikesi vidogo vidogo vya uchochezi.

Pia baada ya kesi hii ya uhaini, Lissu hatakubali tena kukamatwa kwa njia za kihuni zisizofuata taratibu za kisheria.

Ninachoona ni ukurasa mpya katika siasa za Tanzania ambao sina uhakika kama serikali wala umma kwa ujumla umejiandaa nao.

NYONGEZA: Kama wanajiandaa kutengeneza mazingira ya kumtuhumu na kumkamata tena Tundu Lissu (pale atakaposhinda kesi ya uhaini) kutokana na ripoti za Tume zinazoundwa kila siku kuhusiana na MO29, wajiandae kweli kweli maana public reaction ya kumrudisha tena Lissu gerezani inaweza kuwa siyo ya kawaida.
 
Kama waliweza kuua maelfu na hamna kitu public imefanya sembuse kumtia lisu kitanzi
Kitanzi kwa kesi ipi? Point zote amezipangua. Wameshindwa hata kumchallenge kisheria kutaka kuzuia uchaguzi, anawauliza kifungu gani kinakataza wanabaki wanakodoa macho. Hadi kauli ya uasi ambayo wengine walidhani ingemtia matatani, anatamba nayo mahakamani sasa hivi.
 
Kitanzi kwa kesi ipi? Point zote amezipangua. Wameshindwa hata kumchallenge kisheria kuzuia uchaguzi, anawauliza kifungu gani kinakataza wanabaki wanakodoa macho. Hadi kauli ya uasi ambayo wengine walidhani ingemtia matatani, anatamba nayo mahakamani sasa hivi.
We waache wazuie mavi kwa mkono
 
Kitanzi kwa kesi ipi? Point zote amezipangua. Wameshindwa hata kumchallenge kisheria kutaka kuzuia uchaguzi, anawauliza kifungu gani kinakataza wanabaki wanakodoa macho. Hadi kauli ya uasi ambayo wengine walidhani ingemtia matatani, anatamba nayo mahakamani sasa hivi.
Hakuna kesi ila kumfanya lolote hawashindwi
 
Kwa miaka mingi serikali kuanzia za Mkapa hadi Samia zilikuwa zinasumbuana na Tundu Lissu, kwa kumkamata na wakati mwingine kumshitaki kwa tuhuma mbalimbali na baadae kumuachia.

Kitendo cha kufika kumkamata na kumshitaki kwa kesi ya Uhaini ambayo ni kesi kubwa zaidi katika Katiba ya JMT, ambayo kwa mtazamo wangu, hii ni desperate measure ambayo kama isipofanikiwa hawawezi tena kurudi kusumbuana naye kwa vikesi vidogo vidogo vya uchochezi.

Pia baada ya kesi hii ya uhaini, Lissu hatakubali tena kukamatwa kwa njia za kihuni zisizofuata taratibu za kisheria.

Ninachoona ni ukurasa mpya katika siasa za Tanzania ambao sina uhakika kama serikali wala umma kwa ujumla umejiandaa nao.

NYONGEZA: Kama wanajiandaa kutengeneza mazingira ya kumtuhumu na kumkamata tena Tundu Lissu (pale atakaposhinda kesi ya uhaini) kutokana na ripoti za Tume zinazoundwa kila siku kuhusiana na MO29, wajiandae kweli kweli maana public reaction ya kumrudisha tena Lissu gerezani inaweza kuwa siyo ya kawaida.
Tena wataamsha hasira za vijana mno!
 
We unatumia makalio kufikiri
 
Back
Top Bottom