Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Take riskMkuu kila mtu aishi anavyoona ni vyema , binafsi kwa malengo yangu bado sijafikia umri wa kuoa.
Nina watoto wawili ,ni majukumu tosha😆Take risk
Chukua Majukumu
huna majukumu.Nina watoto wawili ,ni majukumu tosha😆
Sawa.huna majukumu.
unajiibaiba
Ukweli hauwezi kuukwepa mashoga wanakimbia majukumu ya uanaume,tamaa ya maisha mazuri na kutaka fedha za haraka,mkumbo wa marafiki n.kUngejenga hoja Yako bila kuweka ushoga ungekuwa mwanaume kweli ila kuweka ushoga ndani yake ni ishara kuwa unahisia za kishoga na anus Yako hupwita pwita Kila uonapo kijana ambae hajaoa
Mkuu unaweza kuwa ulikua una hoja nzuri ila umeharibu kabisa sio kila mtu hata anapenda kusikia haya madudu.Ukweli hauwezi kuukwepa mashoga wanakimbia majukumu ya uanaume,tamaa ya maisha mazuri na kutaka fedha za haraka,mkumbo wa marafiki n.k
ushoga ni kuescape majukumu
Wasipooa wataolewa 🤣Ndoa ni jambo la laZima Kwa kila mwanaume
Itakuwaje kidume huna ndoa, familia( kaya) yako
mkuu hicho kitu hakipingiki kuwa vijana wengi wanakimbia uanaume wao kwa kukimbia majukumu.Mkuu unaweza kuwa ulikua una hoja nzuri ila umeharibu kabisa sio kila mtu hata anapenda kusikia haya madudu.
alaf wanapinga kusema nisitaja neno shoga,sasa wewe mwanaume hujaoa tutakuitaje ikiwa ujana nao ni namba?Wasipooa wataolewa 🤣