Hivi mnajua tafsiri ya Mwanaume au mnajitamba kujiita wanaume tu

Hivi mnajua tafsiri ya Mwanaume au mnajitamba kujiita wanaume tu

maxence melo hawa member wengine huwa mnawatolea wapi..?
atuombe msamaha ambao hatujao asitulazimishe kama yamemshinda akomae na dunia yake hukohuko!
tunakemea na kuonya tena kwa itifaki za kibabe kabisa tunasema sio lazima kuoa na anune na apasuke!.
 
Ni ujinga na upumbavu kwa kijana kukimbilia kuoa.

Umepambana usiku na mchana jitihada zako zimeanza kuzaa matunda, huo ni wakati wa kufurahia maisha peke yako kama ambavyo ulikua unatafuta peke yako.

ukiwa katika prime yako usifanye ujinga wa kumpa hifadhi kahaba mstaafu ambae ashachuja na katika prime yake alikufungia vioo.

Panga mipango ya maisha yako, wekeza, talii maeneo unayoyapenda, kula bata, tembeza mboo mjini, enjoy your prime kama ambavyo hao demaged women walivyoenjoy prime zao kabla hawajachuja na kuanza kufikiria kuolewa.

After you have enjoyed yourself enough noe you want to settle with one lady then go for an innocent and fresh woman.
Yaani nipambane miaka yote niwe stable then nivute mjinga mmoja aniendeshe ndo nionekane mwanaume. Watu wajinga sana. Hongera mkuu kwa comment nzuri.
 
Umejuaje siwatunzi?🤣🤣🤣
Ahahahah.. na nimetumia neno hilo kwa makusudi.
Nina uhakika unatuma pesa za mahitaji. But that is not kuwatunza in totality of 100%.
Nimesema huwatunzi kwakua am sure huna report zao za kila siku from day rising to day ending.. being there for whatever the circumstance they pass through.
And no wonder hao watoto ni kwa mama tofauti!... no offense, but you should have them all under your real care, not like this (if so/my speculation is true) , otherwise ,my applogies for accusations
 
Hahaha huwa mnafurahisha sana
 
Mwanaume ni ujasiri wa kupokea majukumu na mara nyingi kipimo cha uanaume ni ndoa ikiwa huna ndoa wewe ni mvulana tu,vijana mnapenda kuchovyachovya lakini ukiingia kwenye ndoa unakutana na mke wako any time,majukumu ya utafutaji yanakuandama,kitanda plus ada za watoto zinakusubiri.

Lakini mwanaume unatoboa kwa namna yeyote,hivi inakuwaje kijana unayopesa ya kuoa na hujaoa mpaka sasa?alafu unajiita mwanaume?

Mashoga ndiyo wanakimbia majukumu ya uanaume.

OA
Vipi wenye ndoa halafu bado wanachovyachovya, wapo upande upi? Wanaume au wavulana?
 
Back
Top Bottom