and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Toka tumeanza kusoma kindergarten leo uneongea point.Ni ujinga na upumbavu kwa kijana kukimbilia kuoa.
Umepambana usiku na mchana jitihada zako zimeanza kuzaa matunda, huo ni wakati wa kufurahia maisha peke yako kama ambavyo ulikua unatafuta peke yako.
ukiwa katika prime yako usifanye ujinga wa kumpa hifadhi kahaba mstaafu ambae ashachuja na katika prime yake alikufungia vioo.
Panga mipango ya maisha yako, wekeza, talii maeneo unayoyapenda, kula bata, tembeza mboo mjini, enjoy your prime kama ambavyo hao demaged women walivyoenjoy prime zao kabla hawajachuja na kuanza kufikiria kuolewa.
After you have enjoyed yourself enough noe you want to settle with one lady then go for an innocent and fresh woman.
Watu walishaona kuoa ndio kama mafanikio makubwa maishani, hata paka ina familia, watoto na mke.