min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Hahahaha mdogo wangu wa mwisho kaoa , sema malengo yangu yakitimia nitaoa😁Relax umri wako wa kuoa ukifika uoe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha mdogo wangu wa mwisho kaoa , sema malengo yangu yakitimia nitaoa😁Relax umri wako wa kuoa ukifika uoe
Kwa niniMtu ambae hajaoa hana akili timamu
Ukifika umri wa kuoa na hujaoa unahesabika hauna akili. Haujakuwa bado Wazee, wanafamilia, wanajamii mpaka nchi haiwezi kukuamini kukupa madaraka flani flaniKwa nini
Kwa wanawake haina noma maana huna maamuzi ya kuolewa. Ww unasubiri zaliMambo ya ndoa ni mambo binafsi. Kama mtu hataki kuoa ama kuolewa nadhani aachwe tu maisha ni yake.
Basi sawa ,jiaminisheni mna akili hivyo hivyo .Ukifika umri wa kuoa na hujaoa unahesabika hauna akili. Haujakuwa bado Wazee, wanafamilia, wanajamii mpaka nchi haiwezi kukuamini kukupa madaraka flani flani
Peleleza.
Cc depressions Mpaji Mungu min -me and Half americanNdoa ni jambo la laZima Kwa kila mwanaume
Itakuwaje kidume huna ndoa, familia( kaya) yako
Hatujiaminishi that is a factBasi sawa ,jiaminisheni mna akili hivyo hivyo .
Bado sina uwezo wa kutunza mke ,ngoja nipambane kwanza.
SawaHatujiaminishi that is a fact
Shindikana hayo sio majukumu🤣Nina watoto wawili ,ni majukumu tosha😆
Kabisa , hawa wenye ndoa kuna namna wana msongo mkali.Mambo ya ndoa ni mambo binafsi. Kama mtu hataki kuoa ama kuolewa nadhani aachwe tu maisha ni yake.
Eeeh pambana kisha uoe, hatutokuelewa kabisa.Bado sina uwezo wa kutunza mke ,ngoja nipambane kwanza.
Acha kujifariji, msongo uko pale pale. Uoe ama usioe.Kabisa , hawa wenye ndoa kuna namna wana msongo mkali.
Atoto wewe wasema , mtiti wa ada ukifika mimi huwa ndio najua mwenyewe 😅Shindikana hayo sio majukumu🤣
Najua kwa sababu nilishaoa ,tena nikiwa kijana mdogo tu ,ndio kwanza nipo chuo mwaka wa pili🤔Acha kujifariji, msongo uko pale pale. Uoe ama usioe.
Ngoja nikaze ila mpaka nitoboe naiona 50 hii hapa🤣🤣🤣🤣Eeeh pambana kisha uoe, hatutokuelewa kabisa.
Hamna sifa ya kuteseka, kama una wito wa kuoa tafuta mwali upoe nae ndani kama upo kama Mimi nae ni jambo jema unaloweka tu
Starehe si ni tamu eeeh🤣🤣Atoto wewe wasema , mtiti wa ada ukifika mimi huwa ndio najua mwenyewe 😅