Hivi mnajua tafsiri ya Mwanaume au mnajitamba kujiita wanaume tu

Hivi mnajua tafsiri ya Mwanaume au mnajitamba kujiita wanaume tu

After you have enjoyed yourself enough noe you want to settle with one lady then go for an innocent and fresh woman.
some people preffer to settle from the beggining, just like your father did, rhat is why they marry in first place.

I agree with your idea on the last line, men should always go for innocent ladies cz they do exist.

But in contrary on the same, they should do it from the very early of their lives
 
Mkuu nitaoa nikifika 50 nikiona nina kila kitu ninachotamani niwe nacho ,kinyume na hapo sitaoa kabisa , unajua kila mtu ana malengo yake na mifumo yake ya maisha?
usijifiche kwenye kichaka cha malengo mkuu, miaka 50 kwenye ndoa unafata kitu gani?umeshindwa ulivokuwa kijana uzee wako utaweza kukaa na mke.

mkuu we oa msijifiche kwenye kichaka cha malengo,
 
Mkuu nitaoa nikifika 50 nikiona nina kila kitu ninachotamani niwe nacho ,kinyume na hapo sitaoa kabisa , unajua kila mtu ana malengo yake na mifumo yake ya maisha?
True, na hili la kila mtu kuwa na malengo yake kwenye maisha, lingetosha tuishie hapa lakin nikuulize kitu, how do you know that will live to 50's???.
What guarrantees you that??
 
usijifiche kwenye kichaka cha malengo mkuu, miaka 50 kwenye ndoa unafata kitu gani?umeshindwa ulivokuwa kijana uzee wako utaweza kukaa na mke.

mkuu we oa msijifiche kwenye kichaka cha malengo,
🤣🤣🤣 kwa sasa bado sina uwezo wakulisha mke hata cha mchana tu.
 
Aliewadanganya kua uanaume ni kupata shida aliwakosea sana.
Utafanya kila kitu ili tu upate shida shida ili ujiite mwanaume.
Shida zinamkumbuka kila mtu katika kila life style anayo amua kuichagua kuishi kwayo, sasa hii point yako haina mashiko na by the way nani kakuambia kuoa ni kutafuta shida??

Una shida ngapi hapo ulipo na hata hujaoa??

Unaziona kama shida kwakua probably una uwezo mdogo wa ku deal nazo, au just not your prefference, that kind lof life..ukisema hivyo, utaeleweka zaid.
 
Mkuu nitaoa nikifika 50 nikiona nina kila kitu ninachotamani niwe nacho ,kinyume na hapo sitaoa kabisa , unajua kila mtu ana malengo yake na mifumo yake ya maisha?
hapana sikuwa na lengo la kuongelea ushoga,but ushoga ni matokeo ya kutooa.

kuna asilimia 30 wa ukweli huo,na ila vijana wanaozaa nje ya ndoa ndiyo kichocheo cha malezi mabovu ya watoto kitu ambacho ni sababu kubwa ya ushoga.

ndoa imekuwepo lengo ni kurithishana utamaduni kwa watoto
kulinda kizazi
kukuza jamii

why ukimbie kuoa?
 
Back
Top Bottom