Hivi mnajua tafsiri ya Mwanaume au mnajitamba kujiita wanaume tu

Hivi mnajua tafsiri ya Mwanaume au mnajitamba kujiita wanaume tu

1000012661.jpg

1000012662.jpg
 
Ni ujinga na upumbavu kwa kijana kukimbilia kuoa.

Umepambana usiku na mchana jitihada zako zimeanza kuzaa matunda, huo ni wakati wa kufurahia maisha peke yako kama ambavyo ulikua unatafuta peke yako.

ukiwa katika prime yako usifanye ujinga wa kumpa hifadhi kahaba mstaafu ambae ashachuja na katika prime yake alikufungia vioo.

Panga mipango ya maisha yako, wekeza, talii maeneo unayoyapenda, kula bata, tembeza mboo mjini, enjoy your prime kama ambavyo hao demaged women walivyoenjoy prime zao kabla hawajachuja na kuanza kufikiria kuolewa.

After you have enjoyed yourself enough noe you want to settle with one lady then go for an innocent and fresh woman.
Unapigaga kwenye mishono hatari.
 
Mwanaume ni ujasiri wa kupokea majukumu na mara nyingi kipimo cha uanaume ni ndoa ikiwa huna ndoa wewe ni mvulana tu,vijana mnapenda kuchovyachovya lakini ukiingia kwenye ndoa unakutana na mke wako any time,majukumu ya utafutaji yanakuandama,kitanda plus ada za watoto zinakusubiri.

Lakini mwanaume unatoboa kwa namna yeyote,hivi inakuwaje kijana unayopesa ya kuoa na hujaoa mpaka sasa?alafu unajiita mwanaume?

Mashoga ndiyo wanakimbia majukumu ya uanaume.

OA
Ujumbe mzuri ila ufikishaji ni kama unatufokea flani hivi.
 
mkuu hicho kitu hakipingiki kuwa vijana wengi wanakimbia uanaume wao kwa kukimbia majukumu.

tamaa za fedha na maisha mazuri wanaangukia kwenye ushoga.

pambana OA siyo kuchovyachovya.

Mwanaume hakimbii majukumu,mwanaume hajitoi sadaka ya ili kupata huruma ya mtu,mwanaume ni mipango,mikakati na kukabili majukumu.
Kwani wasipoa kuna shida gani kwako mkuu?
 
Mwanaume ni ujasiri wa kupokea majukumu na mara nyingi kipimo cha uanaume ni ndoa ikiwa huna ndoa wewe ni mvulana tu,vijana mnapenda kuchovyachovya lakini ukiingia kwenye ndoa unakutana na mke wako any time,majukumu ya utafutaji yanakuandama,kitanda plus ada za watoto zinakusubiri.

Lakini mwanaume unatoboa kwa namna yeyote,hivi inakuwaje kijana unayopesa ya kuoa na hujaoa mpaka sasa?alafu unajiita mwanaume?

Mashoga ndiyo wanakimbia majukumu ya uanaume.

OA
Umefoka sana bosi.Wavulana bado wamejilaza kama pundamilia porini.
 
Back
Top Bottom