Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Kwa wale wazazi kama una mtoto kuanzia 2020 kwenda mbele kuna kitu naona kwa vizazi kuwa generation hii inaweza na IQ kubwa sana ya utafakari.
Watoto 2020 wanaweza kushika simu yako wakafungua youtube na kukwambia muwekee katuni au kitu anacho penda.
Kitu chengine mzazi ukiwa muongo au mtu wa kona kona unaweza kubananishwa maswali ambayo ulisha sahahu ulichomwambia.
Leo hii mtoto ananiuliza Samuya ni mtu wa aina gani? . Hapa na jiuliza niwe kama mzee dar kwenye kikao.