Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Utakuwa wewe ni mvivu na hupendi kufanya kazi kwa weledi.Wakuu makazini mambo ni mazito.
Hasa private yaan umbea, unafiki, kuzushiana maneno,kuchongeana kwa boss, kuchunguzana na kuharibiana kazi kupo saana.
Mtizamo wangu labda serikalini hayapo haya.
Change my mind sijawai fanya kazi serikalini
Ukichunguza utagundua Watu wa serikalini Wana furaha sana kuliko watu wa sector private
utakua huna experience na kazi ww!!Utakuwa wewe ni mvivu na hupendi kufanya kazi kwa weledi.
Mtu makini hana habari na umbea wala maneno
utakua huna experience na kazi ww!!Utakuwa wewe ni mvivu na hupendi kufanya kazi kwa weledi.
Mtu makini hana habari na umbea wala maneno
100% perfect.Ukiona hivyo ujue tatizo lipo kwako
Mimi nimefanya kazi serikalini na private pia hadi sasa nimejiajiri.utakua huna experience na kazi ww!!
Na uhakika asilimia100
Serikalini kweli ni ngumu kufukuzwa kazi kwa kweliheeeeh usalama tena huko kufukuzwa kazi si ngumu
Kulogana, siyo kurogana. Kiswahili ulijifunzia wapi?Huko serikalini kurogana ndiyo kwenyewe, uchawi wote, uujuwao na usioujuwa, bila kusahau rushwa zote uzijuazo, mpaka za ngono usizozijuwa.
Nyie ndio Team " serikalini Security"Ukichunguza utagundua Watu wa serikalini Wana furaha sana kuliko watu wa sector private
Leo kapatikana Mwl wa Kiswahili FaizaKulogana, siyo kurogana. Kiswahili ulijifunzia wapi?
Huku kunawashirikina kabisa mkuu yaani kila hatua unayopiga watu wanakusoma ukijikwaa tu unalo sema huku kufukuzana ndio issue sio km privateWakuu makazini mambo ni mazito.
Hasa private yaan umbea, unafiki, kuzushiana maneno,kuchongeana kwa boss, kuchunguzana na kuharibiana kazi kupo saana.
Mtizamo wangu labda serikalini hayapo haya.
Change my mind sijawai fanya kazi serikalini
na hiyo ndiyo kazi pekee wavivu hufanya. kufuatilia ya watu hali ya kua yakwao yanawashinda 🐒siongeleei kazi naongelea vita na fitina
Ukweli ndio huo mkuu..ukiwa private sector alafu uwe unawahudumia watu wa serikali tena sector mbali mbali utaona utaofauti wakeNyie ndio Team " serikalini Security"
Serikalini ndio balaaWakuu makazini mambo ni mazito.
Hasa private yaan umbea, unafiki, kuzushiana maneno,kuchongeana kwa boss, kuchunguzana na kuharibiana kazi kupo saana.
Mtizamo wangu labda serikalini hayapo haya.
Change my mind sijawai fanya kazi serikalini
Kuna dereva wa askofu mmoja juzijuzi alichelewa kufika kazini, boss akauliza kwa dereva mwingine mwenzako yuko wapi? Aliyeulizwa akaona hii ni fursa, akamjibu askofu, huyu ameoa mke wa pili hivi sasa anakaa mbali sana hawezi kuwahi kazini, kusikia vile yeye ndiyo akapewa kumuendesha kiongoziWakuu makazini mambo ni mazito.
Hasa private yaan umbea, unafiki, kuzushiana maneno,kuchongeana kwa boss, kuchunguzana na kuharibiana kazi kupo saana.
Mtizamo wangu labda serikalini hayapo haya.
Change my mind sijawai fanya kazi serikalini
Kabisaa mimi yamenikuta sehemu nyingi...nyumba za Ibada na hata mitaani...nilipojichunguza niliona kosa lipo kwangu....Hizo ni changamoto za kila pahala, hadi makanisani na misikitini zipo, jambo la muhimu ni kukaa kitaalam(kutopenda mazoea yasio na tija
Derever wa Askofu ana wake wawili? Hii haikubaliki😅😅Kuna dereva wa askofu mmoja juzijuzi alichelewa kufika kazini, boss akauliza kwa dereva mwingine mwenzako yuko wapi? Aliyeulizwa akaona hii ni fursa, akamjibu askofu, huyu ameoa mke wa pili hivi sasa anakaa mbali sana hawezi kuwahi kazini, kusikia vile yeye ndiyo akapewa kumuendesha kiongozi