Hivi mnaoshinda JF huwa mnakuwa mnafanya nini?


Niunganishe na huyo mdada anipe hata h/girl home kwake niache kuswampa jf [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ushasema tunashinda JF halafu unauliza tunfanya nini. Majanga.

Si unashinda JF, tufanye nini tena?
 
Sasa wewe ambaye unacho cha kufanya,unajuaje kama wapo mda wote? Huenda huo mda huo wa kuchungulia na kusoma, na wao ndo hivo wanao huo huo wa kupost. Lakini pia,kutokuwepo kwako huenda chanzo kikawa uhaba wa bando. Na ujue wengine wanazo 24h/7

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ongeza sauti wengine hawajasikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…