Ukiwa na umri mdogo halafu huna majukumu au huna kazi ya kufanya pengine bado unaishi kwenu au kwa shemeji hapo unaweza kushinda unachart na kukesha unaongea na simu na mademu ila kama umeshaingia kwenye harakati za maisha na una majukumu mengi huwezi kufanya huo upuuzi!Wakuu itifaki imezingatiwa
Katika harakati za mahusiano na mapenzi kuna kitu kimenishinda mpaka najiuliza mnaofanya hivi mnaajenda gani muda wote mnawasiliana
Hivi mwanaume mwenye majukumu ya kazi tu mbali na familia unakuta muda wote ni kuongea na mwanamke wako yes tena mmoja tu simu ikipigwa hata lisaa mnaongea tu, ikikata mnaanza chatting
Sasa najiuliza mnawezaje na mnawasiliana mambo gani muda wote
Wa kwangu akiwa busy tusipowasiliana kutwa nzima tukija kuchat baada ya kazi ni tutakesha kufidia muda wetu wa mchana, story haziishi kwa mtu mnayependana.Ukimpata mtu mtakaye shibana kisawasawa, hukosi cha kuongea nae.
Hata sasa nipo kazini nachati na mke wangu.
utakuta wanaongea mada zinaisha,wanabaki kupumuliana kwenye cm,mmoja anaulza vip mbon kimya,jibu sasa aaah natafakari utundu wako kitandani😂😂wanacheka afu mada inaanzia apo tena,,,(HII NILIONA KWENYE MUVI YA NIGERIA)Hko kunaitwa kulewa penzini manweza ongea mada zisizo na mbele wala nyuma. Ilmradi mnaongea tu.
Mtaachana tu hata mki chat usiku kuchaWa kwangu akiwa busy tusipowasiliana kutwa nzima tukija kuchat baada ya kazi ni tutakesha kufidia muda wetu wa mchana, story haziishi kwa mtu mnayapendana.