Hivi mnawezaje kuchati na wanawake zenu muda wote, mnachat nini

Wakuu itifaki imezingatiwa

Katika harakati za mahusiano na mapenzi kuna kitu kimenishinda mpaka najiuliza mnaofanya hivi mnaajenda gani muda wote mnawasiliana

Hivi mwanaume mwenye majukumu ya kazi tu mbali na familia unakuta muda wote ni kuongea na mwanamke wako yes tena mmoja tu simu ikipigwa hata lisaa mnaongea tu, ikikata mnaanza chatting

Sasa najiuliza mnawezaje na mnawasiliana mambo gani muda wote
Wakikua wataacha
 
utakuta wanaongea mada zinaisha,wanabaki kupumuliana kwenye cm,mmoja anaulza vip mbon kimya,jibu sasa aaah natafakari utundu wako kitandani😂😂wanacheka afu mada inaanzia apo tena,,,(HII NILIONA KWENYE MUVI YA NIGERIA)
🤣🤣🤣
 
Umekula,
Umelala
Umelala
Unafanyanini
Umevaa nn
Umekula nn
Upo nyumbani
Upo nanani
Naomba pesa ya wig
Sina pesa
in post wasp

Vipi mahesabu
Wateja wap kweli
Mizgo umefika
Mama yako ametoka nataka nije

N.k
 
Wakuu itifaki imezingatiwa

Katika harakati za mahusiano na mapenzi kuna kitu kimenishinda mpaka najiuliza mnaofanya hivi mnaajenda gani muda wote mnawasiliana

Hivi mwanaume mwenye majukumu ya kazi tu mbali na familia unakuta muda wote ni kuongea na mwanamke wako yes tena mmoja tu simu ikipigwa hata lisaa mnaongea tu, ikikata mnaanza chatting

Sasa najiuliza mnawezaje na mnawasiliana mambo gani muda wote
Ukituma msg moja asubuhi, unakausha mpaka jioni. Tena hata hiyo jioni unaweza ukamkaushia pia 😎
 
Wakuu itifaki imezingatiwa

Katika harakati za mahusiano na mapenzi kuna kitu kimenishinda mpaka najiuliza mnaofanya hivi mnaajenda gani muda wote mnawasiliana

Hivi mwanaume mwenye majukumu ya kazi tu mbali na familia unakuta muda wote ni kuongea na mwanamke wako yes tena mmoja tu simu ikipigwa hata lisaa mnaongea tu, ikikata mnaanza chatting

Sasa najiuliza mnawezaje na mnawasiliana mambo gani muda wote
Maswali kama haya, hujiuliza yeyote kwa chochote asichokijua. Na kutokujua kitu fulani, haimaanishi wanaokijua ni wazembe...!! Ni sawa na wale wanaosisitiza kutumia kondomu lakini wanakuja kufa kwa kansa iliyosababishwa na uvutaji sigara. Wewe kama huwezi, wenzio wanaweza na majukumu yao hayasimami..!!
 
Back
Top Bottom