Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Mkuu, hadi nimeogopa! Kuna siku babe alitoka kazini amechoka ila akanipigia simu, alikuwa amechoka sana ila alinisikiliza story zangu kwa takribani dakika 20!Facts.
Kama mwanaume, ukitoka kazini lazima uweke muda wa kumsikiliza mpenzi wako regardless umechoka au huna mood, sio lazima na wewe uongee, we kazi yako ni kusikiliza tuu, usipomsikiliza kuna mwanaume mwingine atamsikiliza, alaf badae ndo haohao wanakuja kutulalamikia wamechapiwa.
Ile siku nilitafakari nikajiona mwenye bahati sana, kweli nilizidi kumpenda!
Mungu aendelee kuwabariki wanaume wema, mpo wachache mno.