Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Nini maana ya kumkaushia?Ukikumbuka kumkaushia maana yake hujamkaushia..!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini maana ya kumkaushia?Ukikumbuka kumkaushia maana yake hujamkaushia..!!
Hicho nacho kinakuza mahusianoutakuta wanaongea mada zinaisha,wanabaki kupumuliana kwenye cm,mmoja anaulza vip mbon kimya,jibu sasa aaah natafakari utundu wako kitandani😂😂wanacheka afu mada inaanzia apo tena,,,(HII NILIONA KWENYE MUVI YA NIGERIA)
Kuacha kumfanyia akitegemeacho, LAKINI HUKU UNAKUMBUKA KUWA UNATAKA KUACHANini maana ya kumkaushia?
NotedHicho nacho kinakuza mahusiano
Wanawake sio wa kuwafanya watu serious sana mkuuTena na hela zinazotafutwa na yeye, nazo zinapelekwa huko..!!
Haya Rudi juu kasome ulichoandika ktk quote iliyopita.Kuacha kumfanyia akitegemeacho, LAKINI HUKU UNAKUMBUKA KUWA UNATAKA KUACHA
Unajua, mahusiano hayakuzwi na maswali yahusuyo LUKU bado ipo? Nyama kwenye friji vipi? Ile ada ya mtoto imelipwa? Vipi, wazazi uliwatumia hela? and the like. Mahusiano hukuzwa kwa mambo ambayo kwa kuyaangalia, ni UJINGA MTUPU, UCHAFU MTUPU..!! Lakini ndo hayo yanayayojenga..!!Noted
Kitendo cha kuwa unakumbuka kuwa upo kwenye kumchunia, unakuwa hujamchunia..!!Haya Rudi juu kasome ulichoandika ktk quote iliyopita.
Tuongee serious kidogo, nataka kujifunza pia kwa mtazamo wangu hata experience hiko ulichoposti hapo ndio 99% ya chatting za kimapenzi, kama ukitaka mpaka upate kitu serious cha kuchati au kuwasiliana na mpenzi wako munaweza ukapita mwaka musiwasiliane am tell you yale ni mapenzi sio Business partnership ufupi mapenzi hayana kitu Specific cha kudili nacho ni randomly tu.Umekula,
Umelala
Umelala
Unafanyanini
Umevaa nn
Umekula nn
Upo nyumbani
Upo nanani
Naomba pesa ya wig
Sina pesa
in post wasp
Vipi mahesabu
Wateja wap kweli
Mizgo umefika
Mama yako ametoka nataka nije
N.k
Yes, mimi huwa nachati hivi hata mwanamke yeyote ninayekuwanae namzoesha hivi. Asubui ni umeamkaje, kazi njema baadae then jioni ndio munachati baada ya kazi.Ukituma msg moja asubuhi, unakausha mpaka jioni. Tena hata hiyo jioni unaweza ukamkaushia pia 😎
Mtu mzima anatakiwa atumaje smsNa unakuta jitu zima kabisa lakini text linayotuma mpaka unashangaa "ety babe na haka kahali ya hewa ningekuwa karibu yako hapo ungependa nikufanyie nini??"
Oyaa we koromeo la chuma ji keep busy hata kwa kusoma vitabu ,,
UJINGA KABISA 😒
Yes, wewe ndio unajielewa katika huu uzi. Hatua ya kwanza ya mahusiano hakikisha unakuza mapenzi baina yenu hata uwe na mipango gani mikubwa kwa huyo mwanamke ukianza kwa kuongeanae ishu za Mibishara, mikampuni, maujenzi, kokoto utaboa kila mwanamke utakimbiwa.Unajua, mahusiano hayakuzwi na maswali yahusuyo LUKU bado ipo? Nyama kwenye friji vipi? Ile ada ya mtoto imelipwa? Vipi, wazazi uliwatumia hela? and the like. Mahusiano hukuzwa kwa mambo ambayo kwa kuyaangalia, ni UJINGA MTUPU, UCHAFU MTUPU..!! Lakini ndo hayo yanyayojenga..!!
Unaungua ndani kwa ndani 😂😂Kitendo cha kuwa unakumbuka kuwa upo kwenye kumchunia, unakuwa hujamchunia..!!
Kuuchuna kupo, ila kama kunakuumiza hapo binafsi naona hujauchuna...!! Kuuchuna ni kuanzia ndani hadi nje..!! Siyo akipita tu hapo hujiwezi, au hata usipoandika sms au kupiga simu eti wewe hujiwezi..!! ni hatariUnaungua ndani kwa ndani 😂😂
Ila pia kuna wakati inabidi ufanye hii njia ya kuchuna unapona mawasiliano unaanzisha wewe tu pia usiwe available sana
Mbona nimekuewekea hapo..mpenzi nirafiki pia nakama watu wanaokuzunguka tu hivyo lolote lile huwapo free mnachtTuongee serious kidogo, nataka kujifunza pia kwa mtazamo wangu hata experience hiko ulichoposti hapo ndio 99% ya chatting za kimapenzi, kama ukitaka mpaka upate kitu serious cha kuchati au kuwasiliana na mpenzi wako munaweza ukapita mwaka musiwasiliane am tell you yale ni mapenzi sio Business partnership ufupi mapenzi hayana kitu Specific cha kudili nacho ni randomly tu.
Mfano, niambie kipi cha kuchati na mapenzi wako in normal day??
Facts.Wa kwangu akiwa busy tusipowasiliana kutwa nzima tukija kuchat baada ya kazi ni tutakesha kufidia muda wetu wa mchana, story haziishi kwa mtu mnayapendana.