Hivi mnawezaje kuchati na wanawake zenu muda wote, mnachat nini

Hivi mnawezaje kuchati na wanawake zenu muda wote, mnachat nini

Elewa content niliyokueleza hapo, mambo ya mfano wa sms acha kujisumbua kuniuliza maana siwezi kukujibu.
Onesha mfano hio sms ya kumchesha alafu uwone kama watu wajaiona yakijinga na kitoto

Tuoneshe tunafananishe na ile ukiyoposti juu na kusema ya kijinga...talking is cheap
 
Onesha mfano hio sms ya kumchesha alafu uwone kama watu wajaiona yakijinga na kitoto

Tuoneshe tunafananishe na ile ukiyoposti juu na kusema ya kijinga...talking is cheap
Soma HEADING ya huu uzi halafu rudi hapa ukiwa na hoja ya Kiutu uzima, nisije kuwa na hangaika na teenager uliyetoka kubalehe mwaka jana.
 
Nikishajua binti yangu anaendeleaje imetosha.Nakaa kimya tu atapiga masimu yake na matext mpaka atatafuta kivuli apumzike.Siku nikiamka vizuri jibu ni moja tu.Kuna kazi nafanya hapa ,ntakutafuta baadae ndio imetoka hioo.
 
Katika maisha kila mtu ana namna yake ya kuishi hivo usilazimishe mtazamo wako uzingatiwe na Kila mtu (Usiforce tufanane). Ikiwa wanayofanya Yana manufaa waache tu Kama sivyo wataona tu njia sahihi ya kuacha (Mazingira tu yatawafanya wabadilike)
 
Wakuu itifaki imezingatiwa

Katika harakati za mahusiano na mapenzi kuna kitu kimenishinda mpaka najiuliza mnaofanya hivi mnaajenda gani muda wote mnawasiliana

Hivi mwanaume mwenye majukumu ya kazi tu mbali na familia unakuta muda wote ni kuongea na mwanamke wako yes tena mmoja tu simu ikipigwa hata lisaa mnaongea tu, ikikata mnaanza chatting

Sasa najiuliza mnawezaje na mnawasiliana mambo gani muda wote
Aisee, watu wa hivyo mimi huwaona mashujaa sana.
mimi nikijibu sms mbili tu nahisi kuanza kuchanganyikiwa.
Akinipigia simu aongee mambo ya msingi tena short and clear.
 
Back
Top Bottom