mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 6,290
- 8,600
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babu unamuita majina mengi kisa hela 😂Example
Wakikua wataachaWakuu itifaki imezingatiwa
Katika harakati za mahusiano na mapenzi kuna kitu kimenishinda mpaka najiuliza mnaofanya hivi mnaajenda gani muda wote mnawasiliana
Hivi mwanaume mwenye majukumu ya kazi tu mbali na familia unakuta muda wote ni kuongea na mwanamke wako yes tena mmoja tu simu ikipigwa hata lisaa mnaongea tu, ikikata mnaanza chatting
Sasa najiuliza mnawezaje na mnawasiliana mambo gani muda wote
Naona leo bahati imekua upande wangu...😋Msaada naombeni wa kuchat nae kam ivo afu nitaleta mrejesho
nitashukuru sana wajameni 😂😂😂 oups nilisahau kaa mbali na single maza
🤣🤣🤣utakuta wanaongea mada zinaisha,wanabaki kupumuliana kwenye cm,mmoja anaulza vip mbon kimya,jibu sasa aaah natafakari utundu wako kitandani😂😂wanacheka afu mada inaanzia apo tena,,,(HII NILIONA KWENYE MUVI YA NIGERIA)
Ngoja nipitie nepi pale kwa mangi nijenazo tulee kiziwanda..😂nitashukuru sana wajameni 😂😂😂 oups nilisahau kaa mbali na single maza
😂😂😂umeshinda🙌🏾Ngoja potie nepi pale kwa mangi nijenazo tulew kiziwanda..😂
Ukituma msg moja asubuhi, unakausha mpaka jioni. Tena hata hiyo jioni unaweza ukamkaushia pia 😎Wakuu itifaki imezingatiwa
Katika harakati za mahusiano na mapenzi kuna kitu kimenishinda mpaka najiuliza mnaofanya hivi mnaajenda gani muda wote mnawasiliana
Hivi mwanaume mwenye majukumu ya kazi tu mbali na familia unakuta muda wote ni kuongea na mwanamke wako yes tena mmoja tu simu ikipigwa hata lisaa mnaongea tu, ikikata mnaanza chatting
Sasa najiuliza mnawezaje na mnawasiliana mambo gani muda wote
Maswali kama haya, hujiuliza yeyote kwa chochote asichokijua. Na kutokujua kitu fulani, haimaanishi wanaokijua ni wazembe...!! Ni sawa na wale wanaosisitiza kutumia kondomu lakini wanakuja kufa kwa kansa iliyosababishwa na uvutaji sigara. Wewe kama huwezi, wenzio wanaweza na majukumu yao hayasimami..!!Wakuu itifaki imezingatiwa
Katika harakati za mahusiano na mapenzi kuna kitu kimenishinda mpaka najiuliza mnaofanya hivi mnaajenda gani muda wote mnawasiliana
Hivi mwanaume mwenye majukumu ya kazi tu mbali na familia unakuta muda wote ni kuongea na mwanamke wako yes tena mmoja tu simu ikipigwa hata lisaa mnaongea tu, ikikata mnaanza chatting
Sasa najiuliza mnawezaje na mnawasiliana mambo gani muda wote
Ukikumbuka kumkaushia maana yake hujamkaushia..!!Ukituma msg moja asubuhi, unakausha mpaka jioni. Tena hata hiyo jioni unaweza ukamkaushia pia 😎
Tena na hela zinazotafutwa na yeye, nazo zinapelekwa huko..!!Usijali sisi bodaboda tutakusaidia kuchat naye na kumla kabisa
Wewe tafuta hela