Hivi mnawezaje kuchati na wanawake zenu muda wote, mnachat nini

Unajaribu kuuliza kama mtu hampendani unawezaje kuchat naye.
Jibu ni kuwa haiwezekaniki.

Ila Watu wanaopendana wanachat kila wawapo Free na hawachoki.
 
Kuchat kuna raha yake mimi wa kwangu kipindi ndiyo tumeazisha mahusiano, alikuwa ananichek mara kwa mara ila sasa anajifanya yupo bize sana, ila anasema ananipenda sana natamani kumuuacha sema bado nampenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…