Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
Yesu hakuwa mzungu kama picha za makanisaniNaombeni mnieleweshe Kipindi au zama ambazo alikuwa anaishi bwana yesu kulikuwa hamna picha na huyu bwana yesu ambaye tumemuona au tanamuona makanisani picha yake ilipatikana VP? Na ukiangalia brian deacon amefanana na huyu yesu ambae tunaenda madhabauni kumuabudia ? Naombeni mnieleweshe mwisho tusiwe tunaabudu masanamu huyu
Ile ni picha ya deacon inatumika vibaya,lakini vizazi vinaweza kuwa na taswira ya mtu anaefanana nae kwa kuelezea ni namna gani alifanana kipindi cha uwepo wake,kitu ambacho kilipelekea kuwepo kwa picha ya yesu mweusi kipindi cha nyuma sana kabla ya hizi za brian deacon,Naombeni mnieleweshe Kipindi au zama ambazo alikuwa anaishi bwana yesu kulikuwa hamna picha na huyu bwana yesu ambaye tumemuona au tanamuona makanisani picha yake ilipatikana VP? Na ukiangalia brian deacon amefanana na huyu yesu ambae tunaenda madhabauni kumuabudia ? Naombeni mnieleweshe mwisho tusiwe tunaabudu masanamu huyu
Happy wachoraji, walifanikiwa kumchora yesu tu, vp mama yake yesu, yusufu na wale wanafunzi kumi na wawili? Mbona hawakuchorwa?Wachoraji hawakuwepo pia?
Mbn ktk uislamu HAKUNA picha ya MUHAMAD IBUN ABDILLAH?Imagine kusingekuwa hata na hizo picha huko Makanisani! Maana yake kila mtu angetengeneza picha yake kichwani.
Mwisho wa dunia ipo, ulijuaje kama hakuna wakati wewe unaicha dunia unaenda zako?Haijatokea yesu wala nini ni uongo tu" eti kutakua na mwisho wa dunia hatakuja kutokea na haipo.
Anayesema mwisho wa dunia yeye alijulia wapi, na uthibitisho upi?Mwisho wa dunia ipo, ulijuaje kama hakuna wakati wewe unaicha dunia unaenda zako?
Ni kweli toka hizo walikuwa wachoraji kama wa leo kukuchora sura kama ulivyoPicha zote unazoziona zilitanguliwa na sanaa ya uchoraji. Matumizi ya kamera yamekuja kuleta maboresho katika uchoraji.
Haihitaji kuumiza kichwa, sio pichs halisi Bali ni imagination tu, na sio Kwa Yesu tu, hata watu wengine maarufu wa zamani hizo hutambulishwa kwa portraits tuNaombeni mnieleweshe Kipindi au zama ambazo alikuwa anaishi bwana yesu kulikuwa hamna picha na huyu bwana yesu ambaye tumemuona au tanamuona makanisani picha yake ilipatikana VP? Na ukiangalia brian deacon amefanana na huyu yesu ambae tunaenda madhabauni kumuabudia ? Naombeni mnieleweshe mwisho tusiwe tunaabudu masanamu huyu
Ile picha ya Last Supper ina wanafunzi woteHappy wachoraji, walifanikiwa kumchora yesu tu, vp mama yake yesu, yusufu na wale wanafunzi kumi na wawili? Mbona hawakuchorwa?
Wekeni picha yangu basiMungu alimuumba mtu kwa mfano wake,kimsingi Yesu ni Mungu kwa hiyo ingeweza kutumika picha ya mtu yeyote coz atakuwa ameumbwa kwa mfano wa Mungu.