Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
Wewe jamaa sanaa ya uchoraji ilikuwepo tangu kale,
Kina ,Thot, Nebuchadnezzar wa Babylon,Julius Caesar na Alexander the great wote picha zao zipo zilifanyiwa painting,
Ugumu upo wapi?
Picha ya Yesu Kristo original haipo ila kuna wachoraji wa kale walimpotrait the way alivyokua kumbuka hata wa Orthodox wa Ethiopia ambao hata hawakupelekewa injili na wazungu Wana picha ya Yesu Kristo tena mweusi tii na ina mfanano kwa mbali na hio ya wazungu kimwonekano hiyo coincidence ilitokeaje?