Hivi mnieleweshe: kwani kipindi cha yesu kulikuwa na picha? Sasa huyu yesu aliyepo makanisani picha yake ilipatikana VP?

Hivi mnieleweshe: kwani kipindi cha yesu kulikuwa na picha? Sasa huyu yesu aliyepo makanisani picha yake ilipatikana VP?

Wewe jamaa sanaa ya uchoraji ilikuwepo tangu kale,
Kina ,Thot, Nebuchadnezzar wa Babylon,Julius Caesar na Alexander the great wote picha zao zipo zilifanyiwa painting,

Ugumu upo wapi?
Picha ya Yesu Kristo original haipo ila kuna wachoraji wa kale walimpotrait the way alivyokua kumbuka hata wa Orthodox wa Ethiopia ambao hata hawakupelekewa injili na wazungu Wana picha ya Yesu Kristo tena mweusi tii na ina mfanano kwa mbali na hio ya wazungu kimwonekano hiyo coincidence ilitokeaje?
 
Naombeni mnieleweshe Kipindi au zama ambazo alikuwa anaishi bwana yesu kulikuwa hamna picha na huyu bwana yesu ambaye tumemuona au tanamuona makanisani picha yake ilipatikana VP? Na ukiangalia brian deacon amefanana na huyu yesu ambae tunaenda madhabauni kumuabudia ? Naombeni mnieleweshe mwisho tusiwe tunaabudu masanamu huyu
Yesu hakuwa mzungu kama picha za makanisani
 
Naombeni mnieleweshe Kipindi au zama ambazo alikuwa anaishi bwana yesu kulikuwa hamna picha na huyu bwana yesu ambaye tumemuona au tanamuona makanisani picha yake ilipatikana VP? Na ukiangalia brian deacon amefanana na huyu yesu ambae tunaenda madhabauni kumuabudia ? Naombeni mnieleweshe mwisho tusiwe tunaabudu masanamu huyu
Ile ni picha ya deacon inatumika vibaya,lakini vizazi vinaweza kuwa na taswira ya mtu anaefanana nae kwa kuelezea ni namna gani alifanana kipindi cha uwepo wake,kitu ambacho kilipelekea kuwepo kwa picha ya yesu mweusi kipindi cha nyuma sana kabla ya hizi za brian deacon,
 
1.Hakukuwa na picha mkuu.
2.Picha za Yesu zilizopo ni za kufikirika kwa kuwa hakuna aliyeuona uso wa Yesu akauchora kipindi hiko.
Yote tisa,kumin achofahamu Yesu anakupenda na alikufa kwa ajili yetu wote na kila anayemuamini kwamba alikufa kwa ajili ya dhambi zake anapokea msamaha wa milele na uzima wa milele.
Jesus is Lord.
 
Kwahiyo wakristo, hawafanyi dhambi, kumfananisha na sura ambayo sio yeye bwana yesu? na kuweka mabago sura ambayo sio ya kwake, hata binadamu, wa kawaida hawezi kukubali ni dhiyaka?
 
Ukianza kuhoji picha utahoji na aliandika nani. Cha msingi ni kwenda kuabudu
 
Mkuu, mbona kama unajichanganya mwenyewe? Unauliza swali na jibu unatoa mwenyewe, si umemtaja jina mzungu mmoja hapo? Umesema Deacon, right? So na wewe unajua kwamba yule sio Yesu, swali ni aje tena? Yule sio Yesu, yule ni Deacon and ni wewe pia unajua hivo
 
Picha zote unazoziona zilitanguliwa na sanaa ya uchoraji. Matumizi ya kamera yamekuja kuleta maboresho katika uchoraji.
Ni kweli toka hizo walikuwa wachoraji kama wa leo kukuchora sura kama ulivyo

Uchoraji ulianza mapema mno kabla ya kugunduliwa kusoma na kuandika

Maandishi yalikuja baadaye sana
 
Naombeni mnieleweshe Kipindi au zama ambazo alikuwa anaishi bwana yesu kulikuwa hamna picha na huyu bwana yesu ambaye tumemuona au tanamuona makanisani picha yake ilipatikana VP? Na ukiangalia brian deacon amefanana na huyu yesu ambae tunaenda madhabauni kumuabudia ? Naombeni mnieleweshe mwisho tusiwe tunaabudu masanamu huyu
Haihitaji kuumiza kichwa, sio pichs halisi Bali ni imagination tu, na sio Kwa Yesu tu, hata watu wengine maarufu wa zamani hizo hutambulishwa kwa portraits tu
 
Halafu walivyokuwa hawana akili wanaweka picha ya yule muigizaji kwenye sebule zao na kwenye misalaba wanayovaa wakiamini ndiye Yesu mwenyewe!
 
Mungu alimuumba mtu kwa mfano wake,kimsingi Yesu ni Mungu kwa hiyo ingeweza kutumika picha ya mtu yeyote coz atakuwa ameumbwa kwa mfano wa Mungu.
 
Back
Top Bottom