MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Kabla haujaomba kueleweshwa jitahidi kufanya utafiti wewe mwenyewe, ingia google tafuta 'shroud of turin' pia huyo deacon sio kwamba image yake ndiyo inatumika bali yeye ndiye aliyewekwa kufanania na sura halisi ya Yesu Mnazareth ambaye ni Jewish. Sura halisi ya Yesu ipo kwenye kitambaa alichozawadiwa Veronica.