Hivi mnieleweshe: kwani kipindi cha yesu kulikuwa na picha? Sasa huyu yesu aliyepo makanisani picha yake ilipatikana VP?

Hivi mnieleweshe: kwani kipindi cha yesu kulikuwa na picha? Sasa huyu yesu aliyepo makanisani picha yake ilipatikana VP?

Kabla haujaomba kueleweshwa jitahidi kufanya utafiti wewe mwenyewe, ingia google tafuta 'shroud of turin' pia huyo deacon sio kwamba image yake ndiyo inatumika bali yeye ndiye aliyewekwa kufanania na sura halisi ya Yesu Mnazareth ambaye ni Jewish. Sura halisi ya Yesu ipo kwenye kitambaa alichozawadiwa Veronica.
 
Ile ni picha ya deacon inatumika vibaya,lakini vizazi vinaweza kuwa na taswira ya mtu anaefanana nae kwa kuelezea ni namna gani alifanana kipindi cha uwepo wake,kitu ambacho kilipelekea kuwepo kwa picha ya yesu mweusi kipindi cha nyuma sana kabla ya hizi za brian deacon,
Picha hazifanani na deacon bali deacon ndiye aliyeandaliwa kufanana na Yesu Myahudi na Mnazareth
 
Haijaandikwa katika bibilia.. Ila mapokeo ya kikatoliki yanafundosha kuwa mwanamke mmoja aitwaye Veronica alimfuta Yesu Jasho na damu usoni kwa kutumia leso yake wakati wa mateso ya Yesu.. Kitendo hiki kilimfanya mwanamke huyo azawadiwe picha halisi ya Yesu katika kitambaa hicho.. Na michoro yote ya picha ya Yesu iliyofuata iliiga picha iliyobaki kwenye kitambaa hiki
Aisee، namshukuru Allah kwa neema ya uislamu, kwahyo mkuu ukimfuta mtu jasho na damu sura yake inabakia kwenye kitambaa.
 
Mkuu miaka 2000 unaifahamu au unaiskia? ifike mahali tutumie akili zetu kureason mambo, wataliano watuambie yule mtu kanisani ni nani, ila sio yesu yule.
Hauamini picha ya Yesu iliyotunzwa kwa miaka zaidi ya 2000 ila unaamini maandiko ya injili na barua za mitume ambazo zimetunzwa mpaka leo na kuwekwa kama Biblia 😀 utakuwa na shida mahala
 
Nyerere kila mtu alimuona ila sanamu zake zinapishana na uhalisia
 
Naombeni mnieleweshe Kipindi au zama ambazo alikuwa anaishi bwana yesu kulikuwa hamna picha na huyu bwana yesu ambaye tumemuona au tanamuona makanisani picha yake ilipatikana VP? Na ukiangalia brian deacon amefanana na huyu yesu ambae tunaenda madhabauni kumuabudia ? Naombeni mnieleweshe mwisho tusiwe tunaabudu masanamu huyu
Rais wa kwanza wa USA alikuwepo kabla ya teknolojia ya camera, picha yake ilipatikanaje?

Kila zama zilikuwa na teknolojia zake za kuhifadhi kumbu kumbu pamoja na taswira kwa njia ya uchongaji vinyago, ufinyanzi ama kuchora.

Mbona umejiwekea wigo wa kufikiri namna hiyo bhana?
 
Hauamini picha ya Yesu iliyotunzwa kwa miaka zaidi ya 2000 ila unaamini maandiko ya injili na barua za mitume ambazo zimetunzwa mpaka leo na kuwekwa kama Biblia 😀 utakuwa na shida mahala
Mkuu acha kufananisha mfano wa mtendaji wa kata mpiji magohe na presidential nominee wa marekani, mafundisho na picha wapi na wapi? mafundisho yametoka mbinguni picha imetoka mbinguni pia?.
 
Kabla haujaomba kueleweshwa jitahidi kufanya utafiti wewe mwenyewe, ingia google tafuta 'shroud of turin' pia huyo deacon sio kwamba image yake ndiyo inatumika bali yeye ndiye aliyewekwa kufanania na sura halisi ya Yesu Mnazareth ambaye ni Jewish. Sura halisi ya Yesu ipo kwenye kitambaa alichozawadiwa Veronica.
Achana nao Hawa wakamuliwa mavi.. Hawawezi kuelewa sababu wao ni wapinzani..
 
Kwa hiyo kwako wewe Yesu Kristu unamuona yupo sawa na wewe, mjomba wako, muhamadi na wengine..??
Huyo ni mtume katika mitume wa Allah na wala yeye si bora kuliko wote, kuna nabii ibrahiym amani iwe juu yake, nabii mussa amani iwe juu yake hawa ni bora kuliko yeye, na si ufakhari, lakini haya hayamaanishi ukimfuta jasho sura inabakia kwenye kitambaa kwenye hili nasema tena nishusheni, kwanza yesu hakupigwa na mtu wala kudhalilishwa, haya ni matusi kwake pia.

Mjomba wangu, mimi na wengine ni kweli hawawezi kufananishwa nae ni matusi.
 
too wordy, carbon 14 dating inasema shroud of turin imekuwepo tangia lini?
Carbon 14 Sio kipimo tosha cha kufanya vipimo,kuna collective methods za kisasa zaidi zinazotumia AI kuleta ushahidi wa kihistoria,
Namekwambia tulia nitakuja na ushahidi hapa,
Kingine picha ya Yashua Amashiach haihitaji Vipimo wala nini picha yake ipo Maktaba za kumbukumbu Vatican,Urusi na Ethiopia zote zina mfanano wa sura na walizipotrait watu tofauti tofauti!
 
mkuu tunaongelea shroud of turin au picha ya yoshua?
 
Back
Top Bottom