Bitoz Jobiso
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 1,150
- 1,441
hadi mme wake unamjua kweli we mtoto wa watuMuulize mume wako
hadi mme wake unamjua kweli we mtoto wa watuMuulize mume wako
Mzee umatakantufungiweanatafuta wanaume humu kwa nguvu
**** la mama yako sasa tunaenda kufungiwaMuulize mume wako
hiyo khaa unaipenda sana,chugaboy unafeli wapi ???Mzee Paris ni tofauti na dar,khaa leo hii inalinganisha Paris na dar,hivi nyie watu wadar mpoje
Huyo alikuwa njaa Kali hatari😹😹Umenikumbusha chaliii yangu mmoja alitoka chuga kafikia geto dar ,alifika mida ya ucku nikamwelekezaa ,geto mm cpikagi twenzetu kwa mamantilie hapo tule tusepe geto .
bwana bwana c tukaagiza ugali ,ule ugali ulivyofka mezan chaliii akaniuliza mbona ugali mdg sana ntashba kwel [emoji3][emoji3],mm nikamwambia ndio uku dar tunakulaga hvyo [emoji3][emoji3][emoji3].
Yaan ule ugali alikata tonge nne tu ukaisha then akaagiza mingine tena miliwi Akala jumla ugali 3 pekee .[emoji3][emoji3][emoji3]alafu ananiambiaa hapa angalau
Tuchangie kwa heshima matusi sitaki jiheshimuhadi mme wake unamjua kweli we mtoto wa watu
Siwezi kula chipsi ila viazi nakulaKuhusu ulaji hapo umechemka mzee unabeba zege au ndiyo mkulima mana huo ulaji si wakawaida, kingine ulaji wa chips umetapakaa mikoa karibu yote kwa sasa na mwanaume anasifiwa maarifa si ulaji kama unajua kula ovyo halafu hauna maarifa yakutafuta pesa pumzi ya mwanaume mwenzio utaisikia kisogoni mwako na hizo chips kwani si viazi tu tena asili yake wanga na vinapikwa kama mihogo tu? Mwisho acha lifestyle ulozoea ukienda ugenini nyie ndiyo mnataka watu waishi mnavyotaka nyie hata kwenye miliki zao kwakuwa tu nyie mnataka iwe hivyo.
Tuambie kiongoziUmesahau vitu kibao kuhusu Dar
Mzee mimi ni kidume najiamini wazaramo kazi yao maneno hawanipi shidahJamaa umewachokoza wazaramo ...ushauri ..usiukimbie huu Uzi...shauri yako
Dogo jiheshimu situkanagwi,ohhhanatafuta wanaume humu kwa nguvu
Akikujibu uni tag😄Wew wakike au wakiume 😅😅😅🙌
Mboga huyoAkikujibu uni tag😄
Hiyo Hata sii wa dar,Ila wa kwawala senene🏃🏃haka kajamaa kanatafuta mbususu kwa buku 5.
Yaani maneno meeeengi.
Afu Ara bwana hawanaga maneno mengi ya kujisifia. Wewe ni mwenzetu wa hapa hapa Dar.
Senene au kumbikumbi🤸🤸Mboga huyo
Niko fiti kamili gado,sijui wewe???
Hoja yangu ya msingi inakwenda kwa nyie wakazi wa bongo land a.k.a jiji la chura wanaonesanesa kwenye vumbi,vijana wala chips mlenda mlenda😅😅 a.k.a mabwabwa,ila sio wote wapo hivyo ni baadhi yao,msinielewe vibayaaa.
Laana iliyopo dar ni zaidi ya sodoma na gomora,dar ya sasa sio kama ile dar ya baba yangu alienda miaka ya 98 akapiga pesa mpaka akajenga nyumba kubwa kama ikulu ya magogoni,dar zamani bana,kila kitu kilikuwa shwari,pesa kibao watu walikuwa wakarimu tena waliojaa upendo sana.
Hivi mtaacha tabia lini ya kutembeza vigoma mtaani huku wadada wakiwa uchi,au ile tabia ya kufunga barabara kisa mnaenda kuangalia mabondia wakipima,hii nimeiona mabibo juzi yani wadada waliochoka na maisha wamepakizwa kwenye mapikipiki huku vingoma vinapigwa tabu tupu..
Dar mnalia tabu ya maji,huwa nikisikia eti dar maji tabu nachekaga sana,nakutafakari baada ya miaka 10 mbele dar itakuwa kama ile movie ya mad max,maji yamekuwa deal mpaka mtu unaona ni bora ukaoga kwenye ndoto,ukiamka kila kitu ushamaliza kwenye ndoto..
Vidada vya dar es salaam vinatembea uchi,alafu vinaangalia pesa sana,yani utasikia wewe mkaka wa arusha mrefu basi mzigo wako utakuwa tu mrefu mimi hata usinipe pesa nyingi,nipeleke guest ukanipelekee moto asubuhi nipe elfu 5 tu,huku hakuna wanaume wakupiga mashine kama nyie wachuga,nacheka kwa madharau sana dar wanaume mnatuangusha 😅😅😅,wanasema nyie wakaka wa chuga na kina ngosha mpo vinzuri sana,eti ni kweli wanavyosema ???
Siwezi nikaishi dar,kwanza sipendi joto sana,napenda kuishi kwenye ubaridi wa wastani,vijana wa dar hawajui kula yani dume nzima linakula chakula sahani nusu khaaa mimi siwezi juzi nilipokuwa dar nimekula sahani 3 kwa mama ntilie mpaka watu wamenishangaa wakati kwangu kawaida sana,mwanaume heshima kwenye kufinya diko,huwezi nikuta nakula chips hata siku moja sasa hizo chips nitakula sahani ngapi ili nishibe sinitamaliza tu pesa yangu bure 😅😅😅 siongei hapa ilinijisifu bali nachokiandika hapa ni kweli..
Wanasema dar kuna pesa,ni kweli kunapesa ila sio kama zamani,kwanza sasa hivi biashara za kuigana sana,sio madharau bali nasema ukweli huwezi nikuta nauza matunda au nimefungua Kigoli kidogo nauza nguo,au nauza vipweza barabarani daah ni bora nizame Bush tu,usinifikirie vibaya naongea ukweli wangu.
Najua kwa wakazi wa dar mtachangia kwa hasira sana,ila heshima ifuate mkondo moderator hawajalala mda huu.
ONE TIME,
ONE FOR THE ROAD,
APPROXIMATELY ONCE AGAIN..
Ila si mbususa mzeehaka kajamaa kanatafuta mbususu kwa buku 5.
Ysrbd,
Yaani maneno meeeengi.
Afu Ara bwana hawanaga maneno mengi ya kujisifia. Wewe ni mwenzetu wa hapa hapa Dar.
Watu kama nyie,unchanging safi hakuna matusiKila mtu akija huko shamba nani atanunua mazao yenu
Unakuta mtu amesha ji establish Dar, au anafanya kazi dar, sasa ukisema anang’ang’ania kukaa mjini so aje kijijini au mkoa mwengine aanze upya auWatu kama nyie,unchanging safi hakuna matusi
Safi nimelenga vijana wenye maisha ya kitumwa darUnakuta mtu amesha ji establish Dar, au anafanya kazi dar, sasa ukisema anang’ang’ania kukaa mjini so aje kijijini au mkoa mwengine aanze upya au