Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,441
- 8,408
Bongo pazuri jamani. Wewe kama pamekushinda sepa. Rudi huko Misunkumilo ukaendelee kula mihogo. Tuacheni na jiji letu sisi malegend tuliolizoea
Eti wanajiona nahuku hawana major hata yakuosha USOMzee Paris ni tofauti na dar,khaa leo hii inalinganisha Paris na dar,hivi nyie watu wadar mpoje
Sawa mkuu 😁😁😁Bongo pazuri jamani. Wewe kama pamekushinda sepa. Rudi huko Misunkumilo ukaendelee kula mihogo. Tuacheni na jiji letu sisi malegend tuliolizoea
Sawa Tony nitaenda kula mihogo chakula cha asili,sawa legendBongo pazuri jamani. Wewe kama pamekushinda sepa. Rudi huko Misunkumilo ukaendelee kula mihogo. Tuacheni na jiji letu sisi malegend tuliolizoea
Ndio mimi mtoto wa miaka 7 nashukuru kulijua hiloUtoto tupu.
Kweli mkuu bangi navuta kwani kwako wewe ni kero??zaidi yakujua kuvuta bangi ujanja walikua wanatutafuta wana wa jiji la Dizim
sio kero maana nimeishi nao wavuta bangi sanaKweli mkuu bangi navuta kwani kwako wewe ni kero??
ingawa kilevi changu enzi zile viroba dah yaani bora vilifungiwaKweli mkuu bangi navuta kwani kwako wewe ni kero??
Mimi viroba havipandi nikivuta bangi nakuwa mtu mpole sana na focus na.kazi tuingawa kilevi changu enzi zile viroba dah yaani bora vilifungiwa
Ni vinzuri,wavuta bangi wapo watofauri tofauti sanasio kero maana nimeishi nao wavuta bangi sana
wavuta bangi siwatetei ila wengi nilisoma nao walikua vizuri upstairsNi vinzuri,wavuta bangi wapo watofauri tofauti sana
Mzee Paris hata sipajui kwani ukitaka kwenda unapanda gari la kwenda wapi??Kama unaogopa kuishi dsm sasa huku majuu utapaweza Paris ,Tokyo na Chicago
Bangi imenifanya nipate division 1wavuta bangi siwatetei ila wengi nilisoma nao walikua vizuri upstairs
Ila mkuu kwani mtu kusema ukweli ni mbaya,kweli nakula sana huwezi amini nusu na robo ya mchele nakula mwenyewe,ugali napiga nusu pekee yangu,yani sometimes asubuhi nakula chapati 6 na supu ya buku 3000mkuu dar ndio Ina watu wajanja wafulsa kiliko mkoa wowote. nakujisifia Kula sana siosifa nzuri
Naona umevuta Moshi mkaliiMuulize mume wako