Hivi mpaka sasa bado unanga'ng'ania Dar es Salaam wewe loser my friend..

Umasikini ni adui. Huyu adui anakosesha hata mtu kupata mlo kamili. Akili inaharibika, anawaza kimasikini
 
Huyo alikuwa njaa Kali hatari😹😹
 
Siwezi kula chipsi ila viazi nakula
 
haka kajamaa kanatafuta mbususu kwa buku 5.

Yaani maneno meeeengi.

Afu Ara bwana hawanaga maneno mengi ya kujisifia. Wewe ni mwenzetu wa hapa hapa Dar.
 
haka kajamaa kanatafuta mbususu kwa buku 5.

Yaani maneno meeeengi.

Afu Ara bwana hawanaga maneno mengi ya kujisifia. Wewe ni mwenzetu wa hapa hapa Dar.
Hiyo Hata sii wa dar,Ila wa kwawala senene🏃🏃
 
Kila mtu akija huko shamba nani atanunua mazao yenu
 
haka kajamaa kanatafuta mbususu kwa buku 5.
Ysrbd,
Yaani maneno meeeengi.

Afu Ara bwana hawanaga maneno mengi ya kujisifia. Wewe ni mwenzetu wa hapa hapa Dar.
Ila si mbususa mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…