Hivi mpaka sasa bado unanga'ng'ania Dar es Salaam wewe loser my friend..

Mijianaume ya Dar mingi yani ni mimbea, mitapeli, ety wanavaa hadi shanga wametoboa masikio, ma fakers, watoboa pua, ety mijianaume ya Dar inavaa sketi kaptula, ety linapakaa mkorogo liwe jeupe


Hipo humu mingi tu inajifanya kujificha na kupinga me nikiona jitu limekaa kweny kiti halitulii linasugua matako najua tayali
 
Huo ni mtazamo wako bro,kwa kuanzia Hapa bongo,nchi yenye mikoa 26,Ni Dar peke yake ndo tajiri,na inachangia asilimia 80!ya mapato ya nchi,kwa maana nyingine kwa kila shilingi 1000 inayoingia kwenye hazina ya nchi,800Tsh inatoka Dar!na tender zote na ajirazote,asilimia 80,zinapatikana Dar!!
Sasa kama wewe huna kampuni,sio mjasiriamali mwenye bidhaa au huduma tunazohitaji Dar,Utabaki Dar kufanya nini?!!
Kuhusu usodoma na gomora,unataka kusema Dar inaufuska kuliko London au newtork USA!!?
Kuhusu ulaji wa chips,ni vitu vya kawaida,Dar ni nchi ya joto,watu wa mjini,wengi wanafanya kazi za kutumia akili,hawaitaji nishati nyingi mwilini,hawalimi,hawaendi mtoni kubeba maji,hatutembei umbali mrefu,kila safari,ni gari au bodaboda!!sasa hapo hatutahitaji kula sahani tatu za ugali au wali!!
We kama ni mchoma mkaa,mkulima wa jembe la mkono,Sawa we piga sahani zako tatu,sasa Mimi nashinda kwenye gori langu la kubetisha mpira,na kufanya mihamara ya pesa,hayo maugali ya nini mwilini,si nitajaza choo!!!
 
Ila mkuu kwani mtu kusema ukweli ni mbaya,kweli nakula sana huwezi amini nusu na robo ya mchele nakula mwenyewe,ugali napiga nusu pekee yangu,yani sometimes asubuhi nakula chapati 6 na supu ya buku 3000
hahaha mkuu ukiwa nafamilia utaua watoto kwanjaa. na utatumia bajeti kubwa sana kwenye chakulatu
 
pole sana lazima utakua mweusi wewe. na ukitapeliwa huo niushamba wako.
 
Khaa hatari
 
Sijakataa mkuu bali dar inaenda kuwa kama tanga,tanga zamani ilikuwa safi saNa sasa hivi iko wapi??
 
hahaha mkuu ukiwa nafamilia utaua watoto kwanjaa. na utatumia bajeti kubwa sana kwenye chakulatu
Mzee natafuta sana hawawezi kufa na njaa,kila kitu kipo ndani hakuna shida ya chakula
 
Dar unatumia akili nyingi na sio manguvu hakuna mashamba
 
Sijakataa mkuu bali dar inaenda kuwa kama tanga,tanga zamani ilikuwa safi saNa sasa hivi iko wapi??
Wewe unakosea kama unabisha tambua Bora ya dar kuliko chuga ,chuga hakuna watu wengi ni pale town tu basi ,fursa ni chache..kwa sasa labda useme dodoma ndo Inakuwa na huko ni joto na ukame Tena ila ardhi Ina laana kabisa😂😂😂Sasa utaenda wapi? Bora ya dar mkuu watu wako huku kwa ajili ya fursa uende chug fursa ni chache sana na fursa ni kwa mason wale wa juu.

Njoo kweny ulaji hapa watu wanajua kula sio maugali sisi wa Pwani sio priority kabisa ,ukienda Tanga utakuja kunyweshwa chai usiku na silece tatu 😂😂😂au Zanzibar
 
Ukiona umeshindwa kuishi hata Dar tu mji mdogo huu jua maarifa yako yamefikia ukomo
 
Sio.moshi tu,hata tanga pia
Wee jamaa ndo wale wale Wanaume wa chuga wanaoelelewa na majimama ya kizungu hamna ishu ya muhimu ,uvivu ndo sera yenu na kuongeza tu chuga Wanaume wengi wanapenda mteremko mpk ma shoger yamejaa hayafanyi kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…