Sasa hizo changamoto za dharau, pombe, uzinzi, uongo, kuumizwa kihisia nk ndio sehemu halisi ya mapenzi. Huwezi kuishi na mwenzi wako kwa miaka 10+ bila kukutana na mojawapo kati ya hayo. Kumbuka tu graph ya upendo huwa haipandi wakati wote, no matter how you love her. Zile ups na downs zinaweza hata kukufanya ukawaza(question) upendo wako kwake.
Ukiona ndoa inaenda smooth for decades kuna mmoja anaminywa na hana namna, ila wote mkiwa huru, utashangaa na kujiuliza mengi.
Waliosema marriage is not a bed of roseshawakuwa wajinga.