Hivi Mshauri wa Saikolojia na Ndoa za watu nchini Tanzania Dkt. Mauki ndiyo kusema yeye ni Malaika na hakumbani na kero zitupatazo?

Hivi Mshauri wa Saikolojia na Ndoa za watu nchini Tanzania Dkt. Mauki ndiyo kusema yeye ni Malaika na hakumbani na kero zitupatazo?

Sasa hizo changamoto za dharau, pombe, uzinzi, uongo, kuumizwa kihisia nk ndio sehemu halisi ya mapenzi. Huwezi kuishi na mwenzi wako kwa miaka 10+ bila kukutana na mojawapo kati ya hayo. Kumbuka tu graph ya upendo huwa haipandi wakati wote, no matter how you love her. Zile ups na downs zinaweza hata kukufanya ukawaza(question) upendo wako kwake.

Ukiona ndoa inaenda smooth for decades kuna mmoja anaminywa na hana namna, ila wote mkiwa huru, utashangaa na kujiuliza mengi.

Waliosema marriage is not a bed of roseshawakuwa wajinga.
Vijana hawawez kukuelewa. Na ubaya wa hiz mambo, nondo hiz hazimkai mtu mpaka akakutane na kitu kizito kwanza kisha arud kusoma with refference, ndio material zinazama 😂
 
Jibu sahihi, kwa mtu sahihi na kwa wakati sahihi.
Kuna Wapumbavu hapa huwa wananilazmisha niwaonye Jeuri ya Mimi ni nani na nafanya nini kwani TUNADHARAULIANA na KUCHUKULIANA poa huwa Watu WAKIKARIRI maisha. Kuna Watu wakikuona uko JamiiForums wanajua kuwa upo upo tu kumbe hawajui wengine hapa ni Chimbo la KUPUMZIKA ( Kuburudika na Kucheka ) lakini pia ni Chimbo letu Kuu la kupata TAARIFA ambazo zina manufaa ya KIUTENDAJI hasa kwa mahala tulipo na katika hii Jumuiya ya Afrika Mashariki.
 
Jamaa akili yako ndg sana. Kwaio umeshindwa kutofautisha jamaa anakopatia ugali na maisha yake halisi. Hii ni kama tuu mchungaji anavokemea uzinzi wakati yeye anazini. Grow up man. HALAFU SIJUI KWA NINI NIMECOMENT HUU UZI
Kwa sababu akili yako ndogo kama kisoda ndio maana ume'comment...
NA SIJUI KWANINI NIMEKUJIBU WE PIMBI
 
changamoto, dosari na kasoro katika mahusianao, uchumba na ndoa haviepukiki.....

ndivyo huongeza ladha na kuchochea mapenzi na mapendo ya dhati zaidi miongoni mwa walioko kwenye uchumba au ndoa....

na ukizidisha ujuaji na sifa za kijinga mbele ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, bila kutumia maarifa na uwajibikaji wa halisi na wa kutosha katika uhusiano au ndoa yako.....

ya Dr.Mwaka Yanakuhusu bila chenga 🐒
 
Changamoto sio chuki
Changamoto za kiuchumi na maisha sio tatizo kwenye mapenzi.

Ila zile za kitabia kama usaliti wa zinaa, mapombe, dharau sijui ubinafsi hizô kwa baadhi ya mahusiano hakuna kitu kama hicho.

Wanafiki na wasaliti wanafanana kitabia ya kutokuaminiana na kudhani Watu wote ni wanafiki au sio waaminifu kama wao walivyo.
Hapo Kwenye Mapombe Sijapenda Mkuu
 
Pale kwao naona mke ndio inferior. Jamaa ni maarufu na kwa consultation anazofanya ni wazi wanawake watakuwa wanamikinika sana kufata huduma ya kuliwazwa.

Mkewe lazma atakuwa anavumilia sana cold calls za mademu ambao lawama zinakuwa converted kuwa ni wateja. Kamke ni kafupi hakana mvuto lazma kawe kavumilivu tu.
Kaka Huo Mstari Wa Mwisho Tengua Kauli
 
Kaka Huo Mstari Wa Mwisho Tengua Kauli
Kwahio kwako unaona mrembo mle?😁 Halafu kuna kipindi nilishawahi pewa tender ya kuendesha wamama flani alikuwa miongoni mwao. Kulikuwa na tamasha la kilokole flani. Leo ndo nimegundua kumbe nilishawahi kutana nae ila sikujua ni mke wa mtu maarufu.
 
Kwahiyo Yeye Mkewe hachepuki, yeye hachepuki na kwamba yeye ni Mtakatifu sana katika Mahusiano na Saikolojia?

Tafadhali mwenye Picha ya Mke wa Dkt. Chris Mauki tafadhali aiweke hapa ili labda wenye Changamoto zetu za Kimahusiano tuitumie Kuwaonyesha Wapenzi / Wake zetu ili Wakiiona tu nao Wabadilike upesi Kitabia na Kero ziishe Majumbani mwetu na Mapenzi yawe mwemwere mwemwere tu.

====

Pia soma: Dr. Chris Mauki vs Kataa Ndoa: Je, ndoa ni suala la Kisaikolojia? Ni lazima Uoe? Hayo na mengine mengi yamejibiwa hapa, sogea karibu kushiriki mjadala

Pia soma: Dr. Chris Mauki vs Kataa Ndoa 2: Feminists wanachangia kwa kiasi kikubwa watu kukataa ndoa. Kwa bahati mbaya sana asili haitakaa ibadilike!
Tunamnanga mtu hapa...

Mie huwa nakwepa sana masomo yake kwa sababu hayana impact zaidi ya kumuingizia yeye siku
 
Ana Range Lake, Linapakigi Maeneo ya Mbezi Beach kwa Mchepuko na Tunajua tunakausha tu
Oya Kausha Mkewe yuko JF na hapa anasoma utamuharibia Mkuu. Niko serious kwani namjua na ni mwana JF sana tu Ok?
 
Oya MTINGIJOLI umeona sasa umeshaharibu? Kuna Dada hapa JamiiForums ni Shoga yake Mkewe na Jamaa kamtumia ( kwa Screenshot ) hiyo Post yako. Unajua huyo Jamaa ( Mauki ) ni Poti wangu ( kutokea Mkoa Mara ) sasa sikutaka umuharibie kihivyo kwa Mkewe kwani Mkewe ni Shemeji yangu pia. Halafu ulichohribu umetaja hadi eneo Mkuu yaani Umeharibu kweli kweli na kuanzia sasa nasikia wameshaanza Kulaumiana huko. Wewe usingefunguka kiasi kile bali ungesaga tu Kunguni kimtndo lakini siyo Kufunguka kwani umeharibu sasa kila Kitu.
 
Nimeifuta Mkuu
 
Acheni awakaze. Ulitaka abandue Dada zako au? Sifa ya Mwanaume yoyote yule aliye Rijali ni Kubandua tu na hakuna Huruma.

Brother vp? Mbona makasiriko wenzenu TP mazembe wamekuja kujifunza nyie mpo hapa hapa mnajishikashika tu tukiwapiga back to back ten years mlete makasiriko kama Haya [emoji28]
 
Kuhusu kuchapiwaa sijui ila nasikiaga mchepukowake ni mwimbaji injili maarufu hapa nchini
 
Kwahiyo Yeye Mkewe hachepuki, yeye hachepuki na kwamba yeye ni Mtakatifu sana katika Mahusiano na Saikolojia?

Tafadhali mwenye Picha ya Mke wa Dkt. Chris Mauki tafadhali aiweke hapa ili labda wenye Changamoto zetu za Kimahusiano tuitumie Kuwaonyesha Wapenzi / Wake zetu ili Wakiiona tu nao Wabadilike upesi Kitabia na Kero ziishe Majumbani mwetu na Mapenzi yawe mwemwere mwemwere tu.

====

Pia soma: Dr. Chris Mauki vs Kataa Ndoa: Je, ndoa ni suala la Kisaikolojia? Ni lazima Uoe? Hayo na mengine mengi yamejibiwa hapa, sogea karibu kushiriki mjadala

Pia soma: Dr. Chris Mauki vs Kataa Ndoa 2: Feminists wanachangia kwa kiasi kikubwa watu kukataa ndoa. Kwa bahati mbaya sana asili haitakaa ibadilike!
anapata shida sana,tena nyingi sana,sema kwa kiwango cha kipato walichonacho wanayaficha mengi
 
Back
Top Bottom