kijanamtanashati
JF-Expert Member
- Aug 22, 2014
- 516
- 905
- Thread starter
-
- #41
lazima aone ndo kazi na yupo sahihi si ndo alivyolelewa hivyo. muangalie hapa akihijiwaMwenzio ako kaz ww unamskitikia
Na kwake yy ndo anaona kaz
mkuu huyo anaonekana ni katoto kabisa angalia hata videos zake utagundua kuwa ni bado mdogo sana!Umejuaje huyo ni mtoto vidole vimekomaaa hivo kama anaosha masefuria ya Vingunguti
Halafu analala kwako au yupo ubungo bus stendi??????Anaweza kuwa nao,tena usikute wanakesha na kumuombea usiku na mchana.
mkuu mtoto akiwa mdogo unavyomkuza ndo unaanza kum shape kwetu tupo 5 wakiume 2 wakike 3 kila mtu alichapwa mara ya mwisho darasa la saba kwanzia hapo tulikuwa tunaongeleshwa tu kwa maneno huwezi amini mpk leo hakuna mlevi wala anefanya mambo kama huyo hapo pichani.Kwanza tukubaliane kuwa malezi yanachangamoto kubwa..!! Binafsi nilikuwa na mtazamo km huu wa kwako kabla sijapata watoto. Aisee,nna kijana tena wa kiume alivyonisumbua ni afadhali huyu unayemuona hapo angekuwa ndo mwanangu..!! Bahati nzuri ni kwamba,huyu pesa anazofanyia hayo yote ni zake mwenyewe na nna amini hata wazazi wake(hasa mama anawapa).
Km huna mtoto wa miaka 18+ usiwahukumu wazazi wa huyu binti!
Kanaitwa nani haka kadogo?haka katoto baba yake ni polisi hapo morogoro...naskia ndo kanalisha familia...kweli papuchi na smartphone kwa mwanamke hata wa drs la 7 ni mtaji mkubwa kuliko ww mwenye degree 2 unasubiri mshshara.
Kanaitwa Tunda. Kanaishi Mikocheni B. Mtafute Le Mutuz akupe namba.Kanaitwa nani haka kadogo?
Kana mdomo wa kushika mic, hizo lips kakijua kuzitumia unaweza kuhonga nyumba ya urithi.
Naombeni mawasiliano yake. Crdb wameshusha riba niangalie jinsi ya kukawezesha.
Le mutuz ndio nani?Kanaitwa Tunda. Kanaishi Mikocheni B. Mtafute Le Mutuz akupe namba.
watu kama hawa ndio wanafanya Dini iwepo,bila viumbe km hivi unadhani mapadre,wachungaji na masheikh wangekuwa na kazi gani zaidi ya kuzika tu?Mtoto kama huyu alitakiwa awe shule anasoma ikifika saa nne anaenda kunywa uji na wenzake. Lakini ona mambo anayofanya, kweli ana wazazi huyu mtoto?!
Au ndo wale mnasemaga watoto walioshindikana!! Hivi kuna mzazi kweli anamshindwa mwanae?! Nyie watu kama mnajua hamuwezi kulea bora msizae.
View attachment 793685 View attachment 793686 View attachment 793687 View attachment 793688
Siwezi maana nimesomea English medium schools from kindergarten to university..then nimekaa sana abroad hivyo my Swahili is challenging sana na hata hapa nimejitahidi sana kuandika kiswahili.
Thus, samahani sana kama umekuwa offended na maandishi yangu murua ya mseto.
But kwanza inakuwaje mtu unakasirika na mtu kutumia lugha mbili kwenye maandishi yake? Just ignore them ...utapata ulcers bure kumind visivyo na maana wala ku add value kwako.
AiseeAnaweza kuwa nao,tena usikute wanakesha na kumuombea usiku na mchana.
Nipo japan sijui kuongea kiswahili " lakini nimekuelewaSiwezi maana nimesomea English medium schools from kindergarten to university..then nimekaa sana abroad hivyo my Swahili is challenging sana na hata hapa nimejitahidi sana kuandika kiswahili.
Thus, samahani sana kama umekuwa offended na maandishi yangu murua ya mseto.
But kwanza inakuwaje mtu unakasirika na mtu kutumia lugha mbili kwenye maandishi yake? Just ignore them ...utapata ulcers bure kumind visivyo na maana wala ku add value kwako.