Hivi mtoto kama huyu ana wazazi kweli?

Hivi mtoto kama huyu ana wazazi kweli?

Shughulikia malezi ya watoto wako wa wenzio achana nao..kila mtu ana uhuru wake wa kuishi anavyotaka..
 
Kwanza tukubaliane kuwa malezi yanachangamoto kubwa..!! Binafsi nilikuwa na mtazamo km huu wa kwako kabla sijapata watoto. Aisee,nna kijana tena wa kiume alivyonisumbua ni afadhali huyu unayemuona hapo angekuwa ndo mwanangu..!! Bahati nzuri ni kwamba,huyu pesa anazofanyia hayo yote ni zake mwenyewe na nna amini hata wazazi wake(hasa mama anawapa).
Km huna mtoto wa miaka 18+ usiwahukumu wazazi wa huyu binti!
mkuu mtoto akiwa mdogo unavyomkuza ndo unaanza kum shape kwetu tupo 5 wakiume 2 wakike 3 kila mtu alichapwa mara ya mwisho darasa la saba kwanzia hapo tulikuwa tunaongeleshwa tu kwa maneno huwezi amini mpk leo hakuna mlevi wala anefanya mambo kama huyo hapo pichani.
mm nilikuwaga ni mkorofi walimu walipata tabu sana na mm kwanzia hio stnd 5 mpk 4m2 ndo nilianza badilika tena sio fimbo ndo ilinibadili bali ni maneno tu
usikimbilie kumtandika mtt anza kumtenga na makundi ya wahuni na mfanye awe bize Kwa kazi za nyumbani hio itampunguzi kuwaza ujinga
watoto wa kike ww baba ndo unatakiwa uwe nae karibu Kwa vizawadi na kutoka nae kuwa unamshika mkono hadi bega maana mademu wengi wanaliwaga kwakua hawajawai shikwa na jinsi ya kiume hata mkono ukimshika tu kashalegea
 
haka katoto baba yake ni polisi hapo morogoro...naskia ndo kanalisha familia...kweli papuchi na smartphone kwa mwanamke hata wa drs la 7 ni mtaji mkubwa kuliko ww mwenye degree 2 unasubiri mshshara.
Kanaitwa nani haka kadogo?
Kana mdomo wa kushika mic, hizo lips kakijua kuzitumia unaweza kuhonga nyumba ya urithi.

Naombeni mawasiliano yake. Crdb wameshusha riba niangalie jinsi ya kukawezesha.
 
Kanaitwa nani haka kadogo?
Kana mdomo wa kushika mic, hizo lips kakijua kuzitumia unaweza kuhonga nyumba ya urithi.

Naombeni mawasiliano yake. Crdb wameshusha riba niangalie jinsi ya kukawezesha.
Kanaitwa Tunda. Kanaishi Mikocheni B. Mtafute Le Mutuz akupe namba.
 
Mkitaka namba njoo pm. Juma mosi tulikuwa pa1 na picha zetu ndo hizi.
IMG_20180604_151138_619.jpg
IMG_20180604_151012_892.jpg
 
Mtoto kama huyu alitakiwa awe shule anasoma ikifika saa nne anaenda kunywa uji na wenzake. Lakini ona mambo anayofanya, kweli ana wazazi huyu mtoto?!

Au ndo wale mnasemaga watoto walioshindikana!! Hivi kuna mzazi kweli anamshindwa mwanae?! Nyie watu kama mnajua hamuwezi kulea bora msizae.

View attachment 793685 View attachment 793686 View attachment 793687 View attachment 793688
watu kama hawa ndio wanafanya Dini iwepo,bila viumbe km hivi unadhani mapadre,wachungaji na masheikh wangekuwa na kazi gani zaidi ya kuzika tu?
 
Siwezi maana nimesomea English medium schools from kindergarten to university..then nimekaa sana abroad hivyo my Swahili is challenging sana na hata hapa nimejitahidi sana kuandika kiswahili.

Thus, samahani sana kama umekuwa offended na maandishi yangu murua ya mseto.

But kwanza inakuwaje mtu unakasirika na mtu kutumia lugha mbili kwenye maandishi yake? Just ignore them ...utapata ulcers bure kumind visivyo na maana wala ku add value kwako.

Vizuri sana raia za jamii forum kila mmoja hujikuta wako na PhD ya Kiswahili kumbe ujinga mtupu hata Kiswahili chenyewe hawakijui
 
Siwezi maana nimesomea English medium schools from kindergarten to university..then nimekaa sana abroad hivyo my Swahili is challenging sana na hata hapa nimejitahidi sana kuandika kiswahili.

Thus, samahani sana kama umekuwa offended na maandishi yangu murua ya mseto.

But kwanza inakuwaje mtu unakasirika na mtu kutumia lugha mbili kwenye maandishi yake? Just ignore them ...utapata ulcers bure kumind visivyo na maana wala ku add value kwako.
Nipo japan sijui kuongea kiswahili " lakini nimekuelewa
 
Back
Top Bottom