Hatakiwi kuondoka nyumba bila kuolewa, lakini inawezeka akaondoka kwasababu ya ajira mfano kapata kazi Serikali kapangiwa Mwanza na yeye kwao ni Tabora, au kazalishwa bila kuolewa ili la kuzalishwa bila kuolewa itategemea na tabia yake na mienendo yake.Hapana. Hajanituma nimtafutie mchumba. Mada hii ni ya mimi kungwi kutaka kujielimisha namna nzuri ya kutoa ushauri juu ya umri sahihi wa mtoto wa kike kuondoka nyumbani hata kama hajaolewa.
Majirani wenyewe watoto wao hawaja olewa wanaishi naoAnatukanwa na majirani?? Au anahisi Tu?
Tanzania ya Leo kuna jirani wa kwenda kutukana mtoto wa mtu kisa hajaolewa?...muwe mnataja na vitongoji mnavyotoa hivi vituko twende tukatembee tuone vituko uswahilini
Huyo ni wewe usimsingizie dada wa watu ila si mbaya tangazo tumelielewa,njoo pm tuyajengeKwa mila na tamaduni zilizokuwa zimezoeleka huko nyuma ilikuwa kwamba mtoto wa kike ataondoka kwa wazazi wake kwa kuolewa.
Kwa miaka ya karibuni mifumo na taratibu za maisha zimegeuka kabisa. Idadi kubwa ya watoto wa kike hawaolewi kwasababu mbalimbali.
Kufuatia mabadiliko haya ndiyo sababu ninakuja kwenu wanaJF na maswali yangu haya:-
1. Kwakuwa kuolewa ni nadra sana siku hizi, je, mtoto wa kike azeekee kwa wazazi wake?
2. Kama jibu la swali la kwanza hapo juu ni HAPANA, je, ni umri upi sahihi wa mtoto wa kike (asiyeolewa) kuondoka kwa wazazi wake na kwenda kujitegemea?
Kwanini nimeleta uzi huu?
Kuna mdada mmoja kaja kuniomba ushauri mimi Sexless, kungwi la kitaifa.
Anasema ana miaka 32 (msomi wa chuko kikuu) hajabahatika kuolewa wala hajapata kazi. Bado yupo kwa wazazi lakini hivi sasa anatukanwa na majirani, makaka na mashangazi. Wazazi wake hawana shida naye kabisaaa, wako peace kabisa.
Tutoe ushauri utakaosaidia wadada wote nchini wenye changamoto kama ya huyu mteja wangu.
Binti hana kazi ya kumuingizia kipata halafu aende akajitegemee, Je akajitegemee kwa kujiuza ?Kimsingi masimanho yao yamejikita kwenye umri. Wanasema umri wote huo (miaka 32 ) bado unapishana na babako bafuni? Wanamuambia bora akapange chumba chake mtaani aondoke nyumbani
Mtoto wakike anaondoka kwao kwa kuolewa au kupata kazi mbali na kwao na uko alipo pata kazi kama kuna ndugu zake mfano Kaka, Dada, Mjomba, Shangazi, Baba zake atachagua pakwenda kuishi.Kwahiyo mkuu kuhusu umri sahihi wa mtoto wa kike kuondoka kwao? Hujasema chochote
Mkuu apo kwa kaka inategemea na tabia ya Dada yao kama dada yao ana tabia njema atasaidiwaKimsingi mwanamke ni kuchungwa nyakati zote za maisha yake.....mwanamke hana ukomo wa kukaa nyumbani........ wazazi Wana wajibu wa kumuhudumia mpaka atakapoolewa na kama Hana mume na wazee hawana uwezo basi kaka zao wanawajibika kumuhudumia dada yao mpaka apate mume
Umeanza vizur lkn naona km una haribu ss.Kanda ya ziwa kubwa mkuu. Mkoa gani specifically? Maana kwa mkoa wa Mara ndoa siyo ya watu 2.
Makubaliano ni ya watu 2 lkn ng'ombe (.mahari) zikishatolewa mke anakuwa wa ukoo. Atakatwa mpk mkono lkn haondoki.
32 ni binti?Binti hana kazi
Sababu au lengo la kufanya hivi ni nini kwa mtu anayeitafuta miaka 40?Hatakiwi kuondoka nyumba bila kuolewa, lakini inawezeka akaondoka kwasababu ya ajira mfano kapata kazi Serikali kapangiwa Mwanza na yeye kwao ni Tabora,
Hoja hapa ni umri ni mkubwa wa huyo mdada. Mwanamke anayeitafuta uzee anakaa kwao ili iwe nini?Majirani wenyewe watoto wao hawaja olewa wanaishi nao
Mmh! Mtu anakaribia miaka 40 sasa mwishoe atafikisha 60, aendelee tu kusubiri bwana?akae kwa wazazi mpaka atapota bwana huko nje si ataenda kugawa tu
Je ana mtoto au hana? Je Kuna mtu anampakua ? Je ana nundu aka kichuguu? Je ameshawahi kupewa mafunzo ya unyago au ndo mpaka kitchen party? Je ameshajua jamaa kwanini jamaa wanamkimbiaga? Je anaomba hela au kulia milio ya hela ndani ya muda gani wa mahusiano?Kwa mila na tamaduni zilizokuwa zimezoeleka huko nyuma ilikuwa kwamba mtoto wa kike ataondoka kwa wazazi wake kwa kuolewa.
Kwa miaka ya karibuni mifumo na taratibu za maisha zimegeuka kabisa. Idadi kubwa ya watoto wa kike hawaolewi kwasababu mbalimbali.
Kufuatia mabadiliko haya ndiyo sababu ninakuja kwenu wanaJF na maswali yangu haya:-
1. Kwakuwa kuolewa ni nadra sana siku hizi, je, mtoto wa kike azeekee kwa wazazi wake?
2. Kama jibu la swali la kwanza hapo juu ni HAPANA, je, ni umri upi sahihi wa mtoto wa kike (asiyeolewa) kuondoka kwa wazazi wake na kwenda kujitegemea?
Kwanini nimeleta uzi huu?
Kuna mdada mmoja kaja kuniomba ushauri mimi Sexless, kungwi la kitaifa.
Anasema ana miaka 32 (msomi wa chuko kikuu) hajabahatika kuolewa wala hajapata kazi. Bado yupo kwa wazazi lakini hivi sasa anatukanwa na majirani, makaka na mashangazi. Wazazi wake hawana shida naye kabisaaa, wako peace kabisa.
Tutoe ushauri utakaosaidia wadada wote nchini wenye changamoto kama ya huyu mteja wangu.
Kaka kumuhudumia dada yake sio msaada ni wajibu....kuhusu tabia njema pia ni wajibu wenu kumrekebisha na kumuweka sawa....ndio maana nyinyi mkawa wasimamizi wake...... mwanamke ni kiumbe dhaifu ambaye anapaswa kuchungwa.....na wachungi ni baba, mume au kaka.....Mkuu apo kwa kaka inategemea na tabia ya Dada yao kama dada yao ana tabia njema atasaidiwa
Sasa unataka akakae wapi wakati hana ajira? Atajikimu vipi?Hoja hapa ni umri ni mkubwa wa huyo mdada. Mwanamke anayeitafuta uzee anakaa kwao ili iwe nini?
Kwa mila na tamaduni zilizokuwa zimezoeleka huko nyuma ilikuwa kwamba mtoto wa kike ataondoka kwa wazazi wake kwa kuolewa.
Kwa miaka ya karibuni mifumo na taratibu za maisha zimegeuka kabisa. Idadi kubwa ya watoto wa kike hawaolewi kwasababu mbalimbali.
Kufuatia mabadiliko haya ndiyo sababu ninakuja kwenu wanaJF na maswali yangu haya:-
1. Kwakuwa kuolewa ni nadra sana siku hizi, je, mtoto wa kike azeekee kwa wazazi wake?
2. Kama jibu la swali la kwanza hapo juu ni HAPANA, je, ni umri upi sahihi wa mtoto wa kike (asiyeolewa) kuondoka kwa wazazi wake na kwenda kujitegemea?
Kwanini nimeleta uzi huu?
Kuna mdada mmoja kaja kuniomba ushauri mimi Sexless, kungwi la kitaifa.
Anasema ana miaka 32 (msomi wa chuko kikuu) hajabahatika kuolewa wala hajapata kazi. Bado yupo kwa wazazi lakini hivi sasa anatukanwa na majirani, makaka na mashangazi. Wazazi wake hawana shida naye kabisaaa, wako peace kabisa.
Tutoe ushauri utakaosaidia wadada wote nchini wenye changamoto kama ya huyu mteja wangu.
Sasa si umri wake mkubwa? Aondoke! Aombe mtaji hata wa laki kadhaa akafungue genge la matunda iapambane kukuza mtajiSasa unataka akakae wapi wakati hana ajira? Atajikimu vipi?
Ushauri wa mamako hauna maana kwa zama hizi ambapo ndoa siyo Jambo la kutumainiwa ama kutegemewa na mtoto wa kike.Alichonijibu tena baada ya dakika kumi za ukimya,” sijawahi ona mtoto wa kike anaondoka nyumbani” akaendelea “ huwa haileti picha nzuri hata wakwe wakija kukuchumbia wakaskia umepanga nje huwa inaleta picha mbaya