hata kama mtoto anamiaka 32 bado hajui hata umeme unanunuliwa vipi,siku ukiwa haupo itakuwaje?hata maraisi wanahangaika watoto wao waanze kujitegemeaWanangu wakike watakaa kwangu mpaka watakapojiskia wenyewe haijalishi wana kazi au hawana kwanza jumba kubwa nibaki na yf peke yetu ili iwaje!? Natafuta maisha kwanguvu sababu ikiwa ni wao...wakichoka kukaa na sis nawapa nyumba zao wakaishi how they wish.
Kuishi nyumbani kisa hujaolewa haina maana kwamba hauna shughul za kufanyahata kama mtoto anamiaka 32 bado hajui hata umeme unanunuliwa vipi,siku ukiwa haupo itakuwaje?hata maraisi wanahangaika watoto wao waanze kujitegemea
25 -26 ni akapange kwake aliwe vyema hadi aoleweKwa mila na tamaduni zilizokuwa zimezoeleka huko nyuma ilikuwa kwamba mtoto wa kike ataondoka kwa wazazi wake kwa kuolewa.
Kwa miaka ya karibuni mifumo na taratibu za maisha zimegeuka kabisa. Idadi kubwa ya watoto wa kike hawaolewi kwasababu mbalimbali.
Kufuatia mabadiliko haya ndiyo sababu ninakuja kwenu wanaJF na maswali yangu haya:-
1. Kwakuwa kuolewa ni nadra sana siku hizi, je, mtoto wa kike azeekee kwa wazazi wake?
2. Kama jibu la swali la kwanza hapo juu ni HAPANA, je, ni umri upi sahihi wa mtoto wa kike (asiyeolewa) kuondoka kwa wazazi wake na kwenda kujitegemea?
Kwanini nimeleta uzi huu?
Kuna mdada mmoja kaja kuniomba ushauri mimi Sexless, kungwi la kitaifa.
Anasema ana miaka 32 (msomi wa chuko kikuu) hajabahatika kuolewa wala hajapata kazi. Bado yupo kwa wazazi lakini hivi sasa anatukanwa na majirani, makaka na mashangazi. Wazazi wake hawana shida naye kabisaaa, wako peace kabisa.
Tutoe ushauri utakaosaidia wadada wote nchini wenye changamoto kama ya huyu mteja wangu.
ni sawa ila inaleta tafsiri ingine hata kama muhusika huoni shidaKuishi nyumbani kisa hujaolewa haina maana kwamba hauna shughul za kufanya
Ndiyo ni binti, kama haja zaa na hajawahi kuolewa ni binti huyo32 ni binti?
Sasa atafanya nini au unataka atumie fedha kutafuta mume kama wazungu wanavyo fanya, Wazungu wakija Afrika wanatafuta kijana waki Afrika wanamuoa, kwakuwa wazungu wanakuja na pesa na vijana wengi wa kitanzania ni masikini kijana hawezi kukataa kuolewa na mwanamke waki Zungu mwenye miaka 45 kwasababu kijana atajengewa nyumba atapewa gari lakutembelea na Mzungu akienda kwao kijana anaachiwa ATM card .Mmh! Mtu anakaribia miaka 40 sasa mwishoe atafikisha 60, aendelee tu kusubiri bwana?
Wasichana wasikuizi hawana hofu ya Mungu na hawana maadili kwa jamii, unaweza kuwa na dada zako lakini wakawa hawa kuheshimu utakuta anakakipato kidogo tu kukuzidi wewe na utakuta analeta Mwanaume kwenu au anakuja kuchukuliwa, anakujib husimfatilie maisha yake yeye ni mtu mzima siyo mtoto.Kaka kumuhudumia dada yake sio msaada ni wajibu....kuhusu tabia njema pia ni wajibu wenu kumrekebisha na kumuweka sawa....ndio maana nyinyi mkawa wasimamizi wake...... mwanamke ni kiumbe dhaifu ambaye anapaswa kuchungwa.....na wachungi ni baba, mume au kaka.....
Ndio maana kwenye mirathi kaka anachukua ziada kwa ajili ya dada yake endapo atatoka kwa mumewe........
Wakipotea wachungwaji lawama haziwaendei wachungwaji bali wachungaji............haya mambo haya aanzii ukubwani bali ni mfumo wa maisha unaoanza tangu mnazaliwaWasichana wasikuizi hawana hofu ya Mungu na hawana maadili kwa jamii, unaweza kuwa na dada zako lakini wakawa hawa kuheshimu utakuta anakakipato kidogo tu kukuzidi wewe na utakuta analeta Mwanaume kwenu au anakuja kuchukuliwa, anakujib husimfatilie maisha yake yeye ni mtu mzima siyo mtoto.
[emoji1666][emoji23][emoji23]Hii ni impact ya ubepari, si mnashobokea ubepari... pesa ndio utu, ndio kila kitu. Uko mambele kwa mabepari wenyewe maisha yameanza kuwashinda hawataki hata kuzaa wanaogopa majukumu wanaishia kufuga umbwa na panya[emoji23]
Weka picha yake tuone maana usijekuwa unalaumu haolewi afu kumbe lawama Ni kwa mama alichagua baba bandidu mtoto akaishia kufanana na baba yake ππKwa mila na tamaduni zilizokuwa zimezoeleka huko nyuma ilikuwa kwamba mtoto wa kike ataondoka kwa wazazi wake kwa kuolewa.
Kwa miaka ya karibuni mifumo na taratibu za maisha zimegeuka kabisa. Idadi kubwa ya watoto wa kike hawaolewi kwasababu mbalimbali.
Kufuatia mabadiliko haya ndiyo sababu ninakuja kwenu wanaJF na maswali yangu haya:-
1. Kwakuwa kuolewa ni nadra sana siku hizi, je, mtoto wa kike azeekee kwa wazazi wake?
2. Kama jibu la swali la kwanza hapo juu ni HAPANA, je, ni umri upi sahihi wa mtoto wa kike (asiyeolewa) kuondoka kwa wazazi wake na kwenda kujitegemea?
Kwanini nimeleta uzi huu?
Kuna mdada mmoja kaja kuniomba ushauri mimi Sexless, kungwi la kitaifa.
Anasema ana miaka 32 (msomi wa chuko kikuu) hajabahatika kuolewa wala hajapata kazi. Bado yupo kwa wazazi lakini hivi sasa anatukanwa na majirani, makaka na mashangazi. Wazazi wake hawana shida naye kabisaaa, wako peace kabisa.
Tutoe ushauri utakaosaidia wadada wote nchini wenye changamoto kama ya huyu mteja wangu.
Mbaya nchi hii huwa haishi kama yule aliyesemwa na MakambaSasa unataka mtoto wa Nani amuoe mwanamke mbaya? ππ
Makamba amemtaja mbaya wa roho sio sura Kama mtoto wakoMbaya nchi hii huwa haishi kama yule aliyesemwa na Makamba
[emoji1787] na wewe ebu tafuta dogo dogo, achana na wazee.Mwambie aje tuishi na mimi
[mention]Kelsea [/mention] amenikataa[emoji16]