Hivi mtoto wa kike kama haolewi anapaswa kuendelea kuishi na wazazi mpaka umri gani?

Hivi mtoto wa kike kama haolewi anapaswa kuendelea kuishi na wazazi mpaka umri gani?

Wanangu wakike watakaa kwangu mpaka watakapojiskia wenyewe haijalishi wana kazi au hawana kwanza jumba kubwa nibaki na yf peke yetu ili iwaje!? Natafuta maisha kwanguvu sababu ikiwa ni wao...wakichoka kukaa na sis nawapa nyumba zao wakaishi how they wish.
 
nani ataoa mtu ana miaka 32 anakaa kwao,hata mwanaume kama anakutaka ataona hamnazo?
 
Wanangu wakike watakaa kwangu mpaka watakapojiskia wenyewe haijalishi wana kazi au hawana kwanza jumba kubwa nibaki na yf peke yetu ili iwaje!? Natafuta maisha kwanguvu sababu ikiwa ni wao...wakichoka kukaa na sis nawapa nyumba zao wakaishi how they wish.
hata kama mtoto anamiaka 32 bado hajui hata umeme unanunuliwa vipi,siku ukiwa haupo itakuwaje?hata maraisi wanahangaika watoto wao waanze kujitegemea
 
Mwambie aje tuishi na mimi
[mention]Kelsea [/mention] amenikataa[emoji16]
 
Kwa mila na tamaduni zilizokuwa zimezoeleka huko nyuma ilikuwa kwamba mtoto wa kike ataondoka kwa wazazi wake kwa kuolewa.

Kwa miaka ya karibuni mifumo na taratibu za maisha zimegeuka kabisa. Idadi kubwa ya watoto wa kike hawaolewi kwasababu mbalimbali.

Kufuatia mabadiliko haya ndiyo sababu ninakuja kwenu wanaJF na maswali yangu haya:-

1. Kwakuwa kuolewa ni nadra sana siku hizi, je, mtoto wa kike azeekee kwa wazazi wake?

2. Kama jibu la swali la kwanza hapo juu ni HAPANA, je, ni umri upi sahihi wa mtoto wa kike (asiyeolewa) kuondoka kwa wazazi wake na kwenda kujitegemea?

Kwanini nimeleta uzi huu?

Kuna mdada mmoja kaja kuniomba ushauri mimi Sexless, kungwi la kitaifa.

Anasema ana miaka 32 (msomi wa chuko kikuu) hajabahatika kuolewa wala hajapata kazi. Bado yupo kwa wazazi lakini hivi sasa anatukanwa na majirani, makaka na mashangazi. Wazazi wake hawana shida naye kabisaaa, wako peace kabisa.

Tutoe ushauri utakaosaidia wadada wote nchini wenye changamoto kama ya huyu mteja wangu.
25 -26 ni akapange kwake aliwe vyema hadi aolewe
 
Hiyo dada lazima Kuna sababu mbali mbali zinazopelekea yeye kutoolewa,na nyingi Kati ya hizo sababu zimetengenezwa na yeye.

Labda huyo dada hayuko social na wanaume.Kila mwanaume anayemtokea na kumtongoza yeye amuona kinyaa na kumkataa.
Au Ana hulka Fulani Fulani ambazo ziwanawaepusha wanaume kwake.
 
Mmh! Mtu anakaribia miaka 40 sasa mwishoe atafikisha 60, aendelee tu kusubiri bwana?
Sasa atafanya nini au unataka atumie fedha kutafuta mume kama wazungu wanavyo fanya, Wazungu wakija Afrika wanatafuta kijana waki Afrika wanamuoa, kwakuwa wazungu wanakuja na pesa na vijana wengi wa kitanzania ni masikini kijana hawezi kukataa kuolewa na mwanamke waki Zungu mwenye miaka 45 kwasababu kijana atajengewa nyumba atapewa gari lakutembelea na Mzungu akienda kwao kijana anaachiwa ATM card .
 
Kaka kumuhudumia dada yake sio msaada ni wajibu....kuhusu tabia njema pia ni wajibu wenu kumrekebisha na kumuweka sawa....ndio maana nyinyi mkawa wasimamizi wake...... mwanamke ni kiumbe dhaifu ambaye anapaswa kuchungwa.....na wachungi ni baba, mume au kaka.....

Ndio maana kwenye mirathi kaka anachukua ziada kwa ajili ya dada yake endapo atatoka kwa mumewe........
Wasichana wasikuizi hawana hofu ya Mungu na hawana maadili kwa jamii, unaweza kuwa na dada zako lakini wakawa hawa kuheshimu utakuta anakakipato kidogo tu kukuzidi wewe na utakuta analeta Mwanaume kwenu au anakuja kuchukuliwa, anakujib husimfatilie maisha yake yeye ni mtu mzima siyo mtoto.
 
Wakipotea wachungwaji lawama haziwaendei wachungwaji bali wachungaji............haya mambo haya aanzii ukubwani bali ni mfumo wa maisha unaoanza tangu mnazaliwa
 
Hii ni impact ya ubepari, si mnashobokea ubepari... pesa ndio utu, ndio kila kitu. Uko mambele kwa mabepari wenyewe maisha yameanza kuwashinda hawataki hata kuzaa wanaogopa majukumu wanaishia kufuga umbwa na panya[emoji23]
[emoji1666][emoji23][emoji23]
 
Kwa mila na tamaduni zilizokuwa zimezoeleka huko nyuma ilikuwa kwamba mtoto wa kike ataondoka kwa wazazi wake kwa kuolewa.

Kwa miaka ya karibuni mifumo na taratibu za maisha zimegeuka kabisa. Idadi kubwa ya watoto wa kike hawaolewi kwasababu mbalimbali.

Kufuatia mabadiliko haya ndiyo sababu ninakuja kwenu wanaJF na maswali yangu haya:-

1. Kwakuwa kuolewa ni nadra sana siku hizi, je, mtoto wa kike azeekee kwa wazazi wake?

2. Kama jibu la swali la kwanza hapo juu ni HAPANA, je, ni umri upi sahihi wa mtoto wa kike (asiyeolewa) kuondoka kwa wazazi wake na kwenda kujitegemea?

Kwanini nimeleta uzi huu?

Kuna mdada mmoja kaja kuniomba ushauri mimi Sexless, kungwi la kitaifa.

Anasema ana miaka 32 (msomi wa chuko kikuu) hajabahatika kuolewa wala hajapata kazi. Bado yupo kwa wazazi lakini hivi sasa anatukanwa na majirani, makaka na mashangazi. Wazazi wake hawana shida naye kabisaaa, wako peace kabisa.

Tutoe ushauri utakaosaidia wadada wote nchini wenye changamoto kama ya huyu mteja wangu.
Weka picha yake tuone maana usijekuwa unalaumu haolewi afu kumbe lawama Ni kwa mama alichagua baba bandidu mtoto akaishia kufanana na baba yake 😆😆

Sasa unataka mtoto wa Nani amuoe mwanamke mbaya? 🏃🏃
 
Wanaomsema wako sahihi maana ndio nature, viumbe vyote tumeumbwa hivyo kwamba inategemewa kufikia umri fulani uwe umetimiza hatua kadhaa za kuendeleza kizazi, it's biological and natural, ila kwa maisha haya ya leo, imetulazimu twende kinyume na mambo mengi ya asili.

Anapaswa yeye asihangaike nao, apambane kujikwamua kimaisha hususan kwenye kusaka kipato, kama akiweza aongeze hata elimu apate masters na kuendelea kujichimbia, haina ulazima wa kuolewa almradi tu aoelewe, atateseka kwenye ndoa.
 
Back
Top Bottom