Mlolongo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 3,483
- 6,257
Hapa umeandika points tupu.Wanaomsema wako sahihi maana ndio nature, viumbe vyote tumeumbwa hivyo kwamba inategemewa kufikia umri fulani uwe umetimiza hatua kadhaa za kuendeleza kizazi, it's biological and natural, ila kwa maisha haya ya leo, imetulazimu twende kinyume na mambo mengi ya asili.
Anapaswa yeye asihangaike nao, apambane kujikwamua kimaisha hususan kwenye kusaka kipato, kama akiweza aongeze hata elimu apate masters na kuendelea kujichimbia, haina ulazima wa kuolewa almradi tu aoelewe, atateseka kwenye ndoa.
Lakini majukwaa mengine unaandikaga mavi kishenzi!!