Hivi mtu akifariki humu mnajuaje?

Mimi nikifa Kuna member wanne wananifahamu watakuja kutoa taarifa..πŸ€”πŸ€”but how watapata taarifa ikiwa namba zao nilifutaga.. sijui
Kwann ufute jaman
 
Madhali hakuna umuhimu wa kujuana uhalisia wetu tukiwa tupo hai, sidhani kama kuna faida yeyote ya kujua kama mtu amekufa.
 
to yeye umeanza siku nyingi sana habari za kutaka kufamiana...

Humu kuna majasusi,, Roho mbaya,,, Wauaji,, Wezi,, wala rushwa,,, wachungaji,,, Mabazazi,, Malaya pro max,,, Wahuni,,, mashoga,,, wapambanaji,, wanaolelewa... Na half matahira...

Swala la kufahamiana wameachiwa wachache sana so ni vigumu sana kujua... Na kuna ambao wanabidili ID kisa wamesahau password,, so ni ngumu kujua...

Jf member we all Die like a real men....anonymous
 
Nimekuelewa mkuu@Nas Jr ...nilishatuliza mshono mbona
 
Wanajulikana tu kama wameshakufa
Utaona tu jinsi wanavyokoment
 
Mimi nikifa Kuna member wanne wananifahamu watakuja kutoa taarifa..πŸ€”πŸ€”but how watapata taarifa ikiwa namba zao nilifutaga.. sijui

Yna2 kumbe umefuta namba yangu πŸ˜”
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Embu subiri..kwanzaπŸ€”πŸ€”hivi niliwahi kua nayo eti

Mimi mbona yako ninayo?

Utakuwa umeifuta yangu mdada mzuri...na lazima nikupe adhabu kuipata tena...kaone vile!! 😊
 
Mimi mbona yako ninayo?

Utakuwa umeifuta yangu mdada mzuri...na lazima nikupe adhabu kuipata tena...kaone vile!! 😊
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Adhabu tena..!!huu Ni uonevu eti..nipee tu bila adhabu nitakua katoto kazuri mnoo
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Adhabu tena..!!huu Ni uonevu eti..nipee tu bila adhabu nitakua katoto kazuri mnoo

Hahah muone unavyojitetea 😊😊 kama nakuona vile

Haya nitakupa tena Yna2
 
Humu Ukiona mtu au watu wamepotea ujue wapo pm na mambo yao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…