Hivi mtu akikwambia unakaa mbali ni kweli unakaa mbali au yeye ndo anakaa mbali na wewe

Hahaha Sasa kwa mfano unakaa Kimbiji,Kibada au Unakaa Pugu huko Mtu anakaa Posta..
Kwanza kukutembelea Lazma apotoze Siku nzima 🤣🤣
Kuna jamaa yangu alitaka kununuwa kiwanja Chanika ajenge bei million 10.

Nikamkokotolea mahesabu kuna pagala mtaani kwetu linauzwa million 40 unaweza kulikarabati.

Mshkaji akanunuwa kwa million 40 akalipiga chini ametowa mjengo wa kisasa kabisa, akitoka asubuhi na gari yake dakika 10 tu yupo ofisini.

Sasa wale wa Chanika wanaamka saa 10 alfajili wakati yeye anaamka saa 1.

Haya mambo yanahitaji common sense kuyaelewa, nikiona mtu ana kipato kizuri anatumia masaa matatu njiani kwenda au kurudi kazini huwa namuona chizi tu.
 
Mundo mbinu itakuja tu
 
🤣🤣
Chanika Ni Mkoani hahahh sio Dar Ile hahahahah🤣🤣
 
Ofcourse anakaa mbali na wewe angekuwa karibu si angekuwa jirani yako ?

Hata kama nyote mnakaa kwenye miji (City Centre) na mmoja yupo Paris na mwingine Tokyo ofcourse ni mbali

Ila tukirudi kwenye mada ya kutembeleana ni kwamba utamaduni umebadilika Karne hii ya watu waliozaliwa kwenye kila mtu yupo a call away ni tofauti na kipindi kila cha kuandikiana barua na kusubiri majibu baada ya mwezi..., (sasa hivi hata kutembeleana unaweza kuwa unamuharibia mtu ratiba zake); Kama story zote mnaweza kuzimalia kwenye Whatsapp mkikutana mtaongea nini, Hata yule bata aliyekufa na ndugu yenu mvuta bangi mtakuwa mshaongea kwenye Whatsapp...

Ukitaka kutembelewa anzisha ma reunion ita ndugu zako kila mara moja kwa mwenzi wale bata zaidi ya hapo ni kupotezeana muda

Things have changed
 
Bas kila sehemu ni mbali kutoka sehem nyingine hivyo wote tutembeleane kwa zamu maana hakuna aliekaribu na mwenzake
Hilo sioni kama ni jibu la, mbagala mbali na wapi, mbagala mbali na wapi, jibu kutaja maeneo yaliyo mbali na mbagala.
Mfano: swali lingekua mbagala na bunju mbali wapi, jibu litahitaji kujua muulza swali yeye yuko wapi.
 
Msitafute excuse za kijinga, sehemu nyingine ni za kuishi wastaafu.

Hata kama umejenga sehemu si lazima kuishi kwenye nyumba yako hiyo ni asset yako tu, ishi sehemu ambazo ni accesable.
Sawa, unaposema sehemu ni mbali, you must have a reference point. Ukiniambia reference kwa Dar iwe posta, ambako kwa miezi mitatu unaenda mara moja, ni ujinga wa kuiga mambo tu..!!
 
Back
Top Bottom