Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 15,415
- 29,584
- Thread starter
-
- #221
Wale hawakuwa wake, walikua masuria. Yaani kama kuwa na zizi la wanawake siku ukijisikia kubadili radha toka kwa mke unaenda kukamata mmoja. Enzi hizo ilikubalika na siku hizi inaitwa mchepuko. Hata Abrahamu alikuwa nae, japo mmojaHatuwezi kujua. Angekuwepo mfalme Suleiman angekujibu hasa mke wake wa 700 angetoa jibu zuri.
Acha kubishana na Biblia bhana.Wale hawakuwa wake, walikua masuria. Yaani kama kuwa na zizi la wanawake siku ukijisikia kubadili radha toka kwa mke unaenda kukamata mmoja. Enzi hizo ilikubalika na siku hizi inaitwa mchepuko. Hata Abrahamu alikuwa nae, japo mmoja
Okay, siwezi kubishana na Biblia, ila nipe mstari basi.Acha kubishana na Biblia bhana.
Wake ni 700
Masuria au michepuko 300
Sio kweli.Katika kundi la binadamu ambao dini zimewadunisha hapa duniani ni wanawake.
Mhhhh hii science gani mkuu mbona umeandika vitu kinyume nyume!!!Kisayansi ni jambo zuri zaidi binadamu kuwa na genes zilizotawanyika kuliko genes zinazofanana kukusanywa sehemu ndogo, polygamy ina limit mtawanyiko wa genes na hivyo kuongeza uwezekano wa magonjwa ya kurithi na viumbe wasio na afya nzuri sana.
A woman can make only one egg per month but a man can make millions of sperms to fertilize multiple eggs in a single day. HATUFANANI.Lakini pia katika social science polygamy ni mfumo wa hovyo unaompa mwanaume uhuru wa kufanya mambo ambayo mwanamke haruhusiwi kufanya, kama lingekuwa ni jambo zuri lisilo la kimfumo dume mwanamke naye angeruhusiwa kuoelewa na wanaume wengi kwa wakati mmoja.
Jamaa unachanganya kati ya polygamy(ndoa za mitala) na consanguineous marriage (Ndoa za watu wenye ukaribu kinasaba yaani ndugu)Hii ni hatari kisayansi
View attachment 3318836
Ok, huu hapa.Okay, siwezi kubishana na Biblia, ila nipe mstari basi.
Mi nmetaka kuuliza jinsia ya mleta uzi wallahππMwanaume unalalamikaje mwanamke kuolewa mke wa pili ama wa 3?
Yaani wewe unaumia wanawake kuolewa mke wa pili ama wa 3?
Kwa hiyo unaona bora aendelee kua mchepuko kuliko kua na mwanaume wa uhakika wa kumhudumia na kumstiri?
Utapigana na nani? Aliyekuoa au utaenda kumpiga uliyemkuta kwa kosa lipi?Kuwa mke wa pili tu siwezi.... mbona nitashinda napigana tu naye....akiamka tu kichwa! π€
Eeeeh yule single dadi msumbufu ushamwacha mi mwenzio tayariMimi sioni shida na nipo tayari kuolewa mitala kikubwa mwanaume atimize majukumu yake ipasavyo.
Achana Nae huyo tapeli njoo kwangu mtoto mzuriWewe tena, humu una mababy kibao ndiyo sikuwezi kabisa. π π π π
Mwanaume unalalamikaje mwanamke kuolewa mke wa pili ama wa 3?
Yaani wewe unaumia wanawake kuolewa mke wa pili ama wa 3?
Kwa hiyo unaona bora aendelee kua mchepuko kuliko kua na mwanaume wa uhakika wa kumhudumia na kumstiri?
Nimemuacha kitambo sana, sitakagi ujinga mieEeeeh yule single dadi msumbufu ushamwacha mi mwenzio tayari
For sure ππ€£Just have money, women have no issue with polygamy.