Hivi mtu kujidai haamini uwepo wa Mungu, halafu hapo hapo anaamini dini flani, hii inaitwaje?

Hivi mtu kujidai haamini uwepo wa Mungu, halafu hapo hapo anaamini dini flani, hii inaitwaje?

Jamaa mmoja hivi anapinga sana uwepo wa Mungu,

Mishipa inamsimama kudai Mungu hayupo, na anatoa hoja za kifedhuli kweli kweli,

Sasa leo ushahidi wa mazingira umeonesha kwamba jamaa ni mkiristo tena ana hasira Kweli kweli kutajwa vibaya wakristo,huyu tumuweke kundi gan
Mungu wa Tanzania kazidiwa uwezo na Shetani ktk kila nyanja...Siasani ndo kabisaaaa!!!
 
Huwa siwashangai sana Atheist kwa sababu hata mababu zetu waliacha mizimu yao kuabudu dini mpya kwa kuziona ni superior kwa hiyo, atheist nao wameacha dini kwa kudhani kuwa wao ni superior kiakili kwa kuhoji madhaifu ya dini ambayo sometimes yapo wazi..

Sikubaliani nao lakini pia siwezi kujazwa hasira kwa maamuzi waliyochukua maana wengi wana ubinadamu kimatendo pengine kuliko ambao wanajivika utakatifu wa kidini huku matendo yao hayafanani na wanachokihubiri.
 
Back
Top Bottom