pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa mmoja hivi anapinga sana uwepo wa Mungu,
Mishipa inamsimama kudai Mungu hayupo, na anatoa hoja za kifedhuli kweli kweli,
Sasa leo ushahidi wa mazingira umeonesha kwamba jamaa ni mkiristo tena ana hasira Kweli kweli kutajwa vibaya wakristo,huyu tumuweke kundi gani?
Jikite kwenye mada, kule jamaa alikula kona kule, kachemka akaniignore,We jamaa umekuja huku kuanzisha Uzi kabisa? Una utoto sana aisee. Uliuliza swali na mhusika kwamba uoneshe sehemu alipotaja dini! Hujibu unaruka ruka. Umekuja huku umeanzisha thread
Una akili mno .Huwa siwashangai sana Atheist kwa sababu hata mababu zetu waliacha mizimu yao kuabudu dini mpya kwa kuziona ni superior kwa hiyo, atheist nao wameacha dini kwa kudhani kuwa wao ni superior kiakili kwa kuhoji madhaifu ya dini ambayo sometimes yapo wazi..
Sikubaliani nao lakini pia siwezi kujazwa hasira kwa maamuzi waliyochukua maana wengi wana ubinadamu kimatendo pengine kuliko ambao wanajivika utakatifu wa kidini huku matendo yao hayafanani na wanachokihubiri.
Sasa huyo kiranga si niliwaambieni ni chenga kama amni amini muulizeni kwanini hali ni block 🚫 niliwai kumpiga nondo hadi akaanza kuumbuka na kuonekana kiraza badala ya kiranga kuona hivyo akani block.Somebody korosho sijui karanga
Shukrani brother 🙏🏽🙏🏽Una akili mno .
Leta ushahidiLabda wa Tanzania, ila Mungu wa kweli hazidiwi na chechote wala yeyote
Mkuu, 😊 😅Jamaa mmoja hivi anapinga sana uwepo wa Mungu,
Mishipa inamsimama kudai Mungu hayupo, na anatoa hoja za kifedhuli kweli kweli,
Sasa leo ushahidi wa mazingira umeonesha kwamba jamaa ni mkiristo tena ana hasira Kweli kweli kutajwa vibaya wakristo,huyu tumuweke kundi gani?
Tunapokea kondoo yeyote aliyepotea.Muwekeni kundi la waislam.
Maandiko yanaonyesha wazi hata wew huelewi hatima ya yanayoendelea, aidha unaiishi dini kwakua hujui uamin nin kwa kuzingatia haya yanayoendelea,Huwa siwashangai sana Atheist kwa sababu hata mababu zetu waliacha mizimu yao kuabudu dini mpya kwa kuziona ni superior kwa hiyo, atheist nao wameacha dini kwa kudhani kuwa wao ni superior kiakili kwa kuhoji madhaifu ya dini ambayo sometimes yapo wazi..
Sikubaliani nao lakini pia siwezi kujazwa hasira kwa maamuzi waliyochukua maana wengi wana ubinadamu kimatendo pengine kuliko ambao wanajivika utakatifu wa kidini huku matendo yao hayafanani na wanachokihubiri.
Naishi katika dini kwa sababu kuna spiritual level niliingia nikaona uwepo wa Mungu kwa asilimia mia. Ni kama gate ambalo huwezi ingia kwa akili za kawaida unless ufungue milango ya kirohoMaandiko yanaonyesha wazi hata wew huelewi hatima ya yanayoendelea, aidha unaiishi dini kwakua hujui uamin nin kwa kuzingatia haya yanayoendelea,
Niseme tu watu wa dini woga wao umejikita ktk hofu ya uhalali wao wa kutolipia pumzi na oxygen wavutayo hasa wawapo ktk chin ya hili jua, wamesahau Mungu wa kweli wa Tanzania aliesalitiwa na watanzania walio wengi kwaa kuamin ktk dini ya mzungu
Wamesababisha awafanye mazuzu juu ya matumizi ya madini (dhahabu, aliasing, tanzanite, nk...) wanajivunia kua na mali lakin wanauishi u maskin wa kutisha
Wana maziwa na bahari mito na ardhi safi lakin kawanyima upeo wa kuyatumia kwa manufaa ya watanzania
Kawanyima viongozi wa kuwaongoza badara yake SHETANI, ndo kaachiwa usukani wa kufanya uteuzi
Viongozi wa din za kikoloni husubiri harambee za kifisadi ktoka kwa viongozi waliotokana na ushetani ili kujijengea masinagogi
Hakika bongo zikikumbuka asili ya kweli, tutarudi ktk dunia yetu ya KIMUNGU, isiyo na ubabaishaji.
No, anapinga uwepo wa Mungu, anasema kama yupo basi yuko wapi? Mbona hamuoni ?Mnashindwa kumuelewa, huenda anapinga hizi dini za kigeni, sio uwepo wa Mungu. Hakuna yeyote anaepinga kuwa kuna mwanzo wa vyote. Yeye hataki mumfundishe namna ya kuabudu, anajua mwenyewe moyoni.
Kitaifa, unadhani dini ime play part ipi hadi sasaNaishi katika dini kwa sababu kuna spiritual level niliingia nikaona uwepo wa Mungu kwa asilimia mia. Ni kama gate ambalo huwezi ingia kwa akili za kawaida unless ufungue milango ya kiroho
Hivyo, naweza kutilia mashaka kuhusu dini kutokana na mikanganyiko yake ila kamwe siwezi kutilia shaka uwepo wa Mungu ambaye amejidhihirisha mara nyingi kiuwepo kwa njia ya kiroho..
Sipo spiritual sana ila hata kwa level yangu bado nimeona yasiyonipa shaka
Dini zimecheza nafasi kubwa sana katika amanj na mshikamano uliopo hadi sasaKitaifa, unadhani dini ime play part ipi hadi sasa
Kiongozi bora huandaliwa, na hata hapa wote waliandaliwa,na hadi sasa viongozi wote wamekuwa bora ila kasoro za hapa na pale hazikosekaniWatu hufunga na kuomba ili taifa lipate kiongozi bora, kwa maono yako ya kiungu ni kiongozi gani anaweza kua chaguo la Mungu kwa taifa letu Tanzania
Namna bora ni kuangalia ipi ni njia sahihi ya kukufikisha uendapo, na kwa kuwa dini ni njia sahihi ya maisha basi uamuzi ni wako, ufate ipi au ufate zote,nahitaji namna bora ya kuungana na wengine wanaoamin uwepo wa hizi dini tz
Kama ulisoma comments zangu vizuri ni kuwa naamini katika Mungu 100% lakini si kwamba kila kitu kinachofanyika katika nakiunga mkono kwa asilimia 100..Kitaifa, unadhani dini ime play part ipi hadi sasa
Watu hufunga na kuomba ili taifa lipate kiongozi bora, kwa maono yako ya kiungu ni kiongozi gani anaweza kua chaguo la Mungu kwa taifa letu Tanzania?
Nisaidie tu, nahitaji namna bora ya kuungana na wengine wanaoamin uwepo wa hizi dini tz
Huyo unayemuongelea atakuwa ni anayejiita #kiranga.Jamaa mmoja hivi anapinga sana uwepo wa Mungu,
Mishipa inamsimama kudai Mungu hayupo, na anatoa hoja za kifedhuli kweli kweli,
Sasa leo ushahidi wa mazingira umeonesha kwamba jamaa ni mkiristo tena ana hasira Kweli kweli kutajwa vibaya wakristo,huyu tumuweke kundi gani?