Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
😀 😀 😀do you know how real-estate value appreciate????Aisee huwa nashangaa sana wanaosema ardhi ni Mali eti nunua ujenge usibiri miaka ipite uje uuze hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kununua mchanga na cement aisee kweli mtu mweusi akili zero marekani watu wamepanga nyumba za serikali na wanaendesha maisha Yao Kwa Raha mustarehe
Acha ujinga😀 😀 😀do you know how real-estate value appreciate????
Kununua ardhi ni ujingaUmetoka kwenye bajaji umekuja kwenye pesa zingine tena..
Kumbe unanunua ardhi Ili ukope hii akili Gani aisee si Bora hiyo pesa uliyonunulia ardhi ndio uitumie kichwa chako ni kopoMleta mada unaelewa maana ya Mali(Asset)?
Unaelewa maana ya Appreciation? Unajua kama ardhi inakufanya ukopesheke?
Kwahiyo We ununue Kwa Bei ndogo halafu umpate mjinga Gani wa kumuuzia Bei kubwa mda huo huoNunua ardhi kwa bei ndogo, uza kwa bei kubwa, thank me later
wew ndo kabsa kopo nunua viwanja acha kutafta huruma jenga,,,,Acha ujinga
nafikiri utakuwa una miaka 15 kwa mawazo mkojo uliyonayo ...eneo ambalo 2015 iliuzwa mil 10 leo inauzwa 70-100m ww unajielewaKwahiyo We ununue Kwa Bei ndogo halafu umpate mjinga Gani wa kumuuzia Bei kubwa mda huo huo
We umezeeekaNgoja uzeeke miaka 50 utoto unakusumbua
Hawakusikii vizuti.Piga na honi mfululizo ili watambue kwamba baba mwenye gari unatoa ushauri huku unashangaa.Aisee huwa nashangaa sana wanaosema ardhi ni Mali eti nunua ujenge usibiri miaka ipite uje uuze hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kununua mchanga na cement aisee kweli mtu mweusi akili zero marekani watu wamepanga nyumba za serikali na wanaendesha maisha Yao Kwa Raha mustarehe ila njoo tanzania Kila mtu yupo site kujenga wengine nyumba haziishi na pesa imeisha wanaamia kwenye mapagale
eneo lipi acha uongonafikiri utakuwa una miaka 15 kwa mawazo mkojo uliyonayo ...eneo ambalo 2015 iliuzwa mil 10 leo inauzwa 70-100m ww unajielewa
Ilo swali ungemuuliza Trump na wazungu au nimekwenda mbali pale kariakoo baba yako si anauza chupi kwenye mijengo ya watuAisee huwa nashangaa sana wanaosema ardhi ni Mali eti nunua ujenge usibiri miaka ipite uje uuze hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kununua mchanga na cement aisee kweli mtu mweusi akili zero marekani watu wamepanga nyumba za serikali na wanaendesha maisha Yao Kwa Raha mustarehe ila njoo tanzania Kila mtu yupo site kujenga wengine nyumba haziishi na pesa imeisha wanaamia kwenye mapagale
We unajuaTatizo hujui kuwa hujui.
Epuka sana kudhani kuwa unaelewa na kujua kila jambo.